Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Waambie bodaboda kuwa kazi yenu ni nzuri inalipa, mtakuwa matajiri wakubwa. Endeleeni kwa bidii, itawatoa. Wanataka kusikia hilo.

Kitokacho mdomoni hakirudi: ufanyeje: waambie nimebadilisha maoni, Mungu amenifunulia na kuniotesha. Kazi yenu imebarikiwa, mtakuwa matajiri wakubwa. Umemalizwa mkwaruzano/mtifuano.
Lema hakuwawi kuwa mkweli hata siku moja .Jitu linaishi kwa ajili ya siasa halitaki watu wajue kuwa shibe yake inatokana na siasa na hana kazi yoyote ile ya kumwingizia kipato
 
Walikuwa wanamuita Magufuli mshamba lkn ukiangalia wao (Lema & Co.) ndiyo washamba kwa maana halisi ya neno ushamba, hamna ushamba zaidi ya huu wa Lema.
Sio tu ushamba ,nadhani hakuna kitu kibaya kama unajiona una akili kumbe ni ZERO .Lema ana tatizo la “Deep seated illiteracy”
 
Waambie bodaboda kuwa kazi yenu ni nzuri inalipa, mtakuwa matajiri wakubwa. Endeleeni kwa bidii, itawatoa. Wanataka kusikia hilo.

Kitokacho mdomoni hakirudi: ufanyeje: waambie nimebadilisha maoni, Mungu amenifunulia na kuniotesha. Kazi yenu imebarikiwa, mtakuwa matajiri wakubwa. Umemalizwa mkwaruzano/mtifuano.
Lema ana tatizo lifuatalo “a reverse calture shock “ na haina dawa kabisa kwa kuwa imemkuta akiwa mtu mzima tayari
 
Ni muendeleolzo wa muinjilisti Lema na Mwanasiasa anaeongea ukweli siku zote.

Zikiwa ni siku kadhaa tangia amerudi mafichoni Canada na kuja kumkalia kooni Nabii wa Mchongo Deodavie ya kuwa ni mpuuzi mmoja anaeaminiwa na watu walikosa maarifa.

Lema anasema kuwa maisha ni magumu halafu Nabii anatangaza kuwa kutakuwa na maombi ya kufungua vifungo na baraka kwahiyo tumeni michango yenu elfu 20. Wakati hiyo elfu 20 mwananchi alitakiwa kwenda kununua unga na mchele ukale na familia yako, lakini watu wanaenda kutoa kwa Nabii Deodavie.

Lema endeleaa kuwapiga spana hawa watu.
Hakuna shaka huyu anayejiita nabii ni agent kweli kweli wa ibilisi. Tena fuska hadi kuzaa na mke wa mtu. Watu hivi wamelogwa mpaka wamsikilize eti anahubiri neno la Mungu? Watu wasioijua wala kuisoma Bible ndio wahanga wa huyu agent wa ibilisi
 
Ni muendeleolzo wa muinjilisti Lema na Mwanasiasa anaeongea ukweli siku zote.

Zikiwa ni siku kadhaa tangia amerudi mafichoni Canada na kuja kumkalia kooni Nabii wa Mchongo Deodavie ya kuwa ni mpuuzi mmoja anaeaminiwa na watu walikosa maarifa.

Lema anasema kuwa maisha ni magumu halafu Nabii anatangaza kuwa kutakuwa na maombi ya kufungua vifungo na baraka kwahiyo tumeni michango yenu elfu 20. Wakati hiyo elfu 20 mwananchi alitakiwa kwenda kununua unga na mchele ukale na familia yako, lakini watu wanaenda kutoa kwa Nabii Deodavie.

Lema endeleaa kuwapiga spana hawa watu.
Lema kaishiwa Sera .Sasa Watu wako bizzy na Mambo Yao yeye anapayuka tu .Wakati tunajua Kabisa yeye Ni Msaliti wa Nchi alijifanya Mkimbizi wa Kisiasa Wakati Tz hapakuwa na anayemtaka yeye Wala hakuwa na madhara yoyote .Aliyemtengenezea Ukimbizi wa Kisiasa tunamjua dili Hilo alipewa Zitto akalitema .Lengo lao lilikuwa ni kumchafua JPM Kisiasa tu na yule Mwanadiplomasia wa Mchongo tunamjua aliyewapa Semina.

Achana na Watumishi wa Mungu fanya Siasa zako zinazohusu wewe kanisa halimlazimishi Mtu kufika ibadani ni wewe na kiherehere chako kufutilia Mambo ya Watu. Kama unaona Nabii hafundishi vema fungua kanisa Wafuasi wako wakufuate acha kuingilia Imani za Watu.
 
Lema hakuwawi kuwa mkweli hata siku moja .Jitu linaishi kwa ajili ya siasa halitaki watu wajue kuwa shibe yake inatokana na siasa na hana kazi yoyote ile ya kumwingizia kipato
ana biashara zake kubwa tu alisema mwenyewe
 
Lema kaishiwa Sera .Sasa Watu wako bizzy na Mambo Yao yeye anapayuka tu .Wakati tunajua Kabisa yeye Ni Msaliti wa Nchi alijifanya Mkimbizi wa Kisiasa Wakati Tz hapakuwa na anayemtaka yeye Wala hakuwa na madhara yoyote .Aliyemtengenezea Ukimbizi wa Kisiasa tunamjua dili Hilo alipewa Zitto akalitema .Lengo lao lilikuwa ni kumchafua JPM Kisiasa tu na yule Mwanadiplomasia wa Mchongo tunamjua aliyewapa Semina.

Achana na Watumishi wa Mungu fanya Siasa zako zinazohusu wewe kanisa halimlazimishi Mtu kufika ibadani ni wewe na kiherehere chako kufutilia Mambo ya Watu. Kama unaona Nabii hafundishi vema fungua kanisa Wafuasi wako wakufuate acha kuingilia Imani za Watu.
Achana na personal attacks kwa Lema, hoja yake ni uongo??
 
Ni muendeleolzo wa muinjilisti Lema na Mwanasiasa anaeongea ukweli siku zote.

Zikiwa ni siku kadhaa tangia amerudi mafichoni Canada na kuja kumkalia kooni Nabii wa Mchongo Deodavie ya kuwa ni mpuuzi mmoja anaeaminiwa na watu walikosa maarifa.

Lema anasema kuwa maisha ni magumu halafu Nabii anatangaza kuwa kutakuwa na maombi ya kufungua vifungo na baraka kwahiyo tumeni michango yenu elfu 20. Wakati hiyo elfu 20 mwananchi alitakiwa kwenda kununua unga na mchele ukale na familia yako, lakini watu wanaenda kutoa kwa Nabii Deodavie.

Lema endeleaa kuwapiga spana hawa watu.
lema endelea kupiga za chembe!
 
Huyu nabii wa mchongo anapenda sifa na kujisifia. Karefusha jina lake kwa ma title mengi, inachosha kuyataja yote - mheshimiwa, nabii na mtume, dr. Geordevie. Na watu wanajazana kumuamini tu kana kwamba wameshikwa akili zao
 
Hapo vip!
Leo nimemsikiliza Lema akiwa kwenye mikutano ya chadema huko simanjiro.

Huyu jamaa,ni mtu anayeamini chochote anachokiongea yupo sahihi..ni ishira ya IQ ndogo.

Cha ajabu na kushangaza utaona wananchi,ambao ni watazania wenzetu wakishangilia kwa upuuzi anaongea jukwaani,apo utafahamu yakwamba watanzania wengi wanafikiria under average line (wengi hawana uwezo wa kureasons)ni wapokeaji kama washabiki wa simba na yanga...ndio mahali anapo patia loophole ya kudanganya.

Leo nimemsikia akiropoka huko simanjiro akisema Laizer pesa aliyo uzia Tanzanite ina thamani ya cheni ya Beyonce(cha ajabu hata biyonce hamjui Lema na Lema haja wahi kushika kiuno cha biyonce..sasa sijui thamani ya hiyo pete amepata wap? au alimvua Biyonce akenda kupima kwa sonara nini?)..idiot and poorest Lema....hivi ajue thamani ya pesa ya Tanzania ipo chini kuliko dola ya marekani..aliyosababisha kushuka kwa thamani ni laizer?au yeye ameshindwa kutoa mchango chanya kwa serikali namna ya kupandisha shilingi..?

Ajue Laizer hajawahi kutegemea pesa za serikali na wazungu kama yeye anavyofanya,Lema anategemea mishahara,posho na kugikombabkomba kwa wazungu ndio aweze kubadilisha maisha.

Laizer ni mwekezaji,mjasiriamali na mfanya biashara anailipa serikali pesa za kumlipa Lema..kuwa na adabu Lema.

Lema ajui Levels na tafouti za hatua za kimaendeleo baina za mataifa..ndio maana anaweza kujenga hoja pasipo kujua taofauti ya mataifa katika ulimwengu huu,ana watuhumu wa wekenzaji walio ekeza katika ulimwengu wa tatu wakati biyonce yupo kwenye taifa lililopo ulimwengu wa kwanza..tatizo la elimu

Laizer ni ukoo wa kitajiri toke enzi na enzi..(hawapendi pesi kama wachagga, pesa ndio zinawapenda ndio maana kutoa msaada sio kitu kikubwa kwao)nasema haya kwasababu amekuwa akimuongelea Laizer kihuni wakati Laizer sio muhuni na hana haja na siasa zake za kimasikini.

Lema ni much know wa upumbavu,anasema Ole sendeka ni mshamba,tukumbuka yakwamba tokea hayati Magufuli alipo chukua hatua

na mikakati ya kuhakikisha Tanzanite inanufaisha Tanzania alifanikiwa kwa kiwango cha juu mpaka Tanzania ikatambulika kipindi cha Magufuli yakwamba ndio inchi ianayozalisha Tanzanite Dunia,wakati kabla ya Mugufuli Kenya ndio ilikuwa Taifa linatambulika kama mmiliki wa Tanzanite Duniani .Tukumbuke moja ya mikakati Magufulia aliochukua kufikia hapo ni pamoja na kuzungusha ukuta mererani...Lema tumtafsiri,ya kwamba baada ya ukuta deal zake chafu zimefeil..shame Lema.

Namuona Lema ni mtu anayeongea kwa hisia pasipi kushirikisha akili..wanxwaxke ndio wanaongea kwa hisia.

Pia ujue Olesendeka anatokea kwenye familia ya kitajiri tofauti na wewe,ngo'ombe unazomuambia akachunge theluthi zinatahamani kuliko mafanikio uliopata tokea ukiwa mbunge..kumbuka ulikuwa na maisha magumua sana kabla ya kuwa mbunge..shame Lema

Nakushauri uache siasa cheap kwasababu huwa zinayeyuka kama povu la sabuni
 
Back
Top Bottom