Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

Mwanasiasa na Mbunge huyo wa zamani wa Arusha Mjini, ametua Nchini, leo Jumatano Machi Mosi, 2023 akitokea Canada na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KI

" .... akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema, Kutoka Misri nalimwita mwanangu.",

Mungu ni wa ajabu sana!
 
Duuh huu ulikua msiba wa anayedaiwa kuwa Fisadi, kweli za kuambiwa changanya na zako
Hivi hujawahi kuona wanakijij wamejaza kuangalia mamba aliyekuwa anakula mifugo yao walipoambiwa mamba huyo kafa ?
 
" .... akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema, Kutoka Misri nalimwita mwanangu.",

Mungu ni wa ajabu sana!
🤣🤣🤣🤣mkuu umeongea neno gumu sana
 
Kwakweli kumpokea Lema nilikuwepo, jamaa ana ushawishi wa hali ya juu mno, sikutegemea watu wangekuwa wengi vile
mama alishuka pale akienda kuwapa wana ccm semina elekezi ambazo mwendazake alizifuta, alishangaa na wana CHADEMA walaibaki kumshangilia.
 
Dodoma airpoti iko hivyo! Tangu lini wamejenga teminal yenye daraja la kupandia ndege! Sema usemavyo ila hautaweza kubadili vuguvugu hilo.
Ilikuwa ni uwanja WA ndege WA Dar ,Marehemu akisafirishwa kwenda Dom hapo hujaelewa kipi?
 
Back
Top Bottom