Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Picha za uwanja wa ndege Dar hazikosi majengo ya hali ya hewa na minazi, KIA huwa hakuna miti kwani ni sehemu kavu, na ndivyo picha inavyoonesha, hata hivyo nyie kataeni kuwa kulifurika ila mjue mama aliwapungia mkono japo hawakumjali wala kumpungia.Ilikuwa ni uwanja WA ndege WA Dar ,Marehemu akisafirishwa kwenda Dom hapo hujaelewa kipi?