Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

Mwanaume mwenye kende zake unaacha kazi zako unaenda kumpokea mwanaume mwezako?
 
Msipige deki barabara tu wakuu.
 
LiverpoolFC
Mbona kuna kitu sijakielewa! Hapo juu nimeona nyomi linakimbilia ndege tena ya ATCL,sasa hivi unasema ndege inakaribia kutua, which is which?
 
Video ya mazishi ya Marehemu Magufuri akisafirishwa kwenda Dodoma Kwa ndege ambapo wananchi walivunja uzio kwenda kumuaga wewe unaiweka hapa kwamba wameenda kumpokea Lema !!!!!!!!!!


Mungu atakulaani
 
Alafu kijana Erythrocyte usitufanye wengine humu ni vijana wenzako.

Unaposema utatuletea live coverage, you mean kila kinachojiri basi iwe hivyo na siyo waje JF wakaweka LIVE ndipo uzi wako upate heading NO.

Unaposema wananchi wanapeperusha bendera na matawi ya miti, hebu simu yako itumike kuonyesha hao watu, usisubiri JF iweke LIVE ili uzi wako upate heading NO.

Nowadays simu ni kila kitu, hata live ya 10sec kwa eneo ulipo itakupa credit kubwa kuliko kuhadaa watu wazima hapa!.
 
Video ya mazishi ya Marehemu Magufuri akisafirishwa kwenda Dodoma Kwa ndege ambapo wananchi walivunja uzio kwenda kumuaga wewe unaiweka hapa kwamba wameenda kumpokea Lema !!!!!!!!!!


Mungu atakulaani
Dodoma airpoti iko hivyo! Tangu lini wamejenga teminal yenye daraja la kupandia ndege! Sema usemavyo ila hautaweza kubadili vuguvugu hilo.
 
Ndio maana kila unapopita unakutana na mapori.
 
Hadaa maana yake nini ? unamaanisha nimeleta uzi ili kuja kuhadaa watu hapa jf ? sijawahi kufanya hadaa na wala sina sababu ya kufanya hivyo .

Halafu ikitokea yeyote akasaidia kuweka tukio sidhani kama ni vibaya , mimi siwezi kuwa engo zote
 
Atashiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…