Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu, ya kupinga Dhiki, Ufukara, Ugumu wa Maisha, Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula, pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi, Maandamano yanayoandaliwa na Chama chenye Maono CHADEMA, Sasa yameingia Arusha.
Wataalam wa kuhesabu namba baada ya kujua kwamba Maandamano hayo makubwa yamepangwa kufanyika tarehe 27 /02/2024 na baada ya kufahamu kwamba leo ni 21/02/2024, Wamedai kwamba zimebakia siku 6 tu kabla ya shughuli hiyo kubwa kufanyika.
Usiondoke JF, maana mtumishi wako Erythrocyte atashiriki na atakuletea kila kinachojiri , ikiwemo taarifa za wote wanaoingilia Maandamano hayo kwa shari kama alivyofanya Biteko Mbeya.