Pre GE2025 Arusha: Zimebakia siku 6 tu kabla Neema ya Maandamano ya Amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
JITAHIDINI SANA WAFUASI WENU WASIVUNJE SHERIA, UKIZINGATIA ARUSHA INA WAVUTA BANGE WENGI, KITENDO CHA GHASIA TU, MAANA YAKE MAANDAMANO HAYATUFAI NA YASITISHWE MARA MOJA.
Acha kuogopa kivuli chako, uoga wako ndio umetuleta hapa kama nchi,police wajibu wao ni kulinda raia na hawaruhusiwi kwenye public protest kuwa na live bullets, maandamano ni haki ya kikatiba ,wewe ni nani kusema yasitishwe
 
Kosa kubwa la katiba yetu ni kuruhusu maandamano ya hovyo hovyo, kipengele hiki ndani ya katiba kiangaliwe upya na kurekebishwa.
 
Hii route waliyo sema ianzie Jr mie naona wamekosea
Route ingeanzia Morombo ipitie Ngusero itokee Ngarenaro.
Halafu hao wa Karatu waanzie TANAPA wakutane Ngarenaro. Wa Jr kuja Ngarenaro sio mbali.
 
Well Noted Mkuu...
 
Ngoja tuwasiliane na Magoma
 
Wewe zezeta naweza kuilisha ukoo wenu

Jitu kula tu mpaka udange
Njoo Goma uwone navyowashughulikia mbwapori

Zuungusha kimini hapa Dodoma nasikia umelanga hapo Monduli teh teh teh umejibebesha Ukoo yaani ni uchawadanga kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…