ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ACHENI KUPEANA MATANGO PORI.

DAMU O+ HAINA CHOCHOTE JUU YA HIV ....

YAAN UKIZENGUA, UNAPATA NGOMA KAMA KAWAIDA.


KWAUFUPI DUNIANI WATU WENYE O+ WANACHUKUA 70% YA IDADI YOTE YA WATU.
 
Nimewahi kutumia PEP siku 30 na zenyewe zina maluweluwe kama hizo ARV sina hamu, yaani mtihani. Nilibanduaga kavu kavu malaya aliyekubuhu bila kujua. Sema nilimfaidi sana maana alikuwa fundi kweli kweli.
Daaa JF unaweza uonekane wewe una roho ya kifashisti kuchekelea matatizo ya wenzako, kumbe unacheka jinsi tatizo lilivyoelezewa...

Kuna shughuli nyingne inaitwa PEP 72HRS, ile unaweza ukainywa, baada ya masaa kadhaa unatafuta dawa uitapike,
PEP ndio ARVs zenyewe hizo.
 
Jamaa kumbuka kuna kuhesabiwa mema na mabaya siku za mwisho wa dunia. Hapa kwa kauli yako hii kuna watu wataenda kujaribu ulichosema . Naomba kama unaimani thabiti ya kimungu ndani yako tafadhali ikane hii kauli yako ili kuziponya roho nyingi za watu
 
Ukimwi ni ngumu sana kuupata na ni rahisi sana kuupata kazio kwenye hili eneo mpaka unapata ukimwi ni umeutafuta kwa tochi punguzeni ujuaji kwenye bed ukimwaga inatosha akikudharau unapungukiwa nini?
 
Hizi IDs zinazoshuhudia maajabu ya ARVs, mara sijui ARVs za siku hizi zina uchachu, mara maluwe luwe[emoji81][emoji81], Kuna watu mnawaumiza vichwa mjue, chain.

All in all ishini kwa matumaini.
“UKIMWI upo na unaua”
 
ACHENI KUPEANA MATANGO PORI.

DAMU O+ HAINA CHOCHOTE JUU YA HIV ....

YAAN UKIZENGUA, UNAPATA NGOMA KAMA KAWAIDA.


KWAUFUPI DUNIANI WATU WENYE O+ WANACHUKUA 70% YA IDADI YOTE YA WATU.
Kuna sehemu yoyote ile nimekulazimisha unikubalie? Unateseka nini na Sisi wenye Damu ya O+? Nitafutie Demu mwenye UKIMWI kisha ' nimbandue ' kavu kavu Bao zangu za ' Hat trick ' kisha baada ya Miezi Mitatu Kanipime kokote ili Uamini kuwa Sisi ' hatuathiriki ' ng'o.
 
Noma sana
 
Jamaa kumbuka kuna kuhesabiwa mema na mabaya siku za mwisho wa dunia. Hapa kwa kauli yako hii kuna watu wataenda kujaribu ulichosema . Naomba kama unaimani thabiti ya kimungu ndani yako tafadhali ikane hii kauli yako ili kuziponya roho nyingi za watu
Nawatafutia Biashara ( Soko ) Wauza Majeneza Manzese Argentina na Tanzania nzima.
 
Mkuu....

makundi ya damu ..unazungumzia RBC..seli nyekundu za damu...ambazo kazi yake ni kusafirisha oksijeni mwilin.sasa hizi RBC kwa ukuta wake wa nje zimebeba antigens ( chembechembe zinazotumika kuelezea aina ya kundi la damu la mtu mmoja hadi mwengine n.k)


HIV hana mpango na hizo RBC


Yeye HIV anacheza na WBC ,seli nyeupe za damu ambazo kazi yake ni Kinga ya mwili.


Ukisikia Kinga yake imeshuka baada ya HIV... ujue HIV kafanikiwa Kuua Seli hizi nyeupe WBC aina ya T-Helper cells ( CD4 cells ) .



Kwahiyo mambo ya kudanganyana sijui O+ sijui nn..hayapooo.


Ngoma iko palepale.
 
Mimi nikiwa kavulana nilikuwa na jimama langu linanilea, kuna siku lilisafiri kibiashara, likaniachia nyumba niwe muangalizi,

Sijui kitu gani kilifanya nipekue pekue kule chumbani, bahati mbaya/ nzuri likasahau kufunga dro ya kabati.

Si nikakumbana na mikadi ya mahudhurio yameandikwa CTC

Yalikuwa ya kuchukulia dawa. Nilichanganyikiwa ,asubhuhi na mapema nikayabeba makadi hadi hiyo hospitali yenye hiyo kriniki,ilikuwa hospitali ya wilaya.

Wakanijibu huyu mtu anahudumiwa hapa miaka mingi tu, ni nani yako? Nikawambia ni mpenzi wangu,wakashangaa, wewe kijana limama lote lile la nini? Itabidi tukupime mara tatu kila baada ya miezi mitatu.

Lakini kwakanionya sio vizuri kupekuwa na kubeba vitu binafsi vya watu bila ridhaa yao.
Nilipima majibu yakawa safi ,sikupata maambukizi.
Sasa bhana wakati natoka nimeshika makadi yale nakuta watu kama 100+, wana kama mkutano hivi,waliponiona na zile kadi wamama wakajishika kichwa kwa mshangao.
Nahisi walidhani ni mtumiaji wa yale madawa nakipindi hiko nilikuwa mvulana mdogo.
UKIMWI upo ,tena watu wengi mitaani wanao.
Jinsi alivyorudi na kumpa taarifa ,na jinsi mama alivyolipokea ile taarifa,hiyo ni kesi ingine,pale ndio nilijua uchungu wa mwana aujuae mzazi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee polee
 
Mh mbona naskia Kuna muda wanakupumzisha wanaangalia km Kinga yako ya mwili iko juu Sana
Ikianza kushuka ndio wanakupa tena
 
Sio kweli...Ukimwi unaupata vizuri tu ukiingia kumi na nane zake[emoji23].

Hiyo kitu ya Group la Damu haipo hiyo....Pia ujue Hilo group "O" ndo group lenye watu wengi Duniani.

In short hamna kitu kama hicho.

Stay safe... Play safe...Ukimwi upo.
 
Huu uzi watu wanajadili ki-layman sana... Badala ya kujadili kwa mapana na marefu ili ufaidishe jamii iliyomo humu. Na yote imechangiwa na mleta uzi kuugeuza kuwa wa "kimipasho" sana...

Kwa sisi watu wa medical field mngeweza ku-benefit masuala juu ya uhalisia... Mjue watu humu JF, tuna-type, na tuna-enjoy maisha humu, lakini tunadanganyana sana... Wengi tunajifanya tuna maisha mazuri, kama hivi tunajifanya hatuumwi(as if wanaoumwa, huo ugonjwa waliuleta wao, wakati wao wenyewe wameambukizwa), na mengine kama hayo. Tunaishi maisha ya mtandaoni ambayo si uhalisia wetu.

Sasa na wao wapo humu na wamekuwa "carried away" na mkondo mbaya wa mjadala.. Wakati wana uelewa zaidi ya mtunga uzi.

Kifupi napinga na ni uongo mkubwa kuwa ARV zina shida katika matumizi. Labda mtoa uzi arudi aseme, hiyo taarifa aliipata wapi, kwa nani, na lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…