Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uncle pole sanaaAlaf ARV za skuizi ni chachu chachu sijui kama mmegundua hilo
Usiombe kupima na unajijua umepita sehem za hatari hatariii.me nilibananishwa na wifeee la sivyo mpaka leo nisingepima nilijua na mimi ninao aisee nilihamia kwenye pombee kwa sana mpaka wife akawa ananishangaa tu kumbe nina siri yangu moyoni[emoji3][emoji3][emoji3]harooo ya jasho la pumbu vepeee
Polee[emoji38][emoji38]Alaf ARV za skuizi ni chachu chachu sijui kama mmegundua hilo
Niliwahi kuuza mechi nikaenda pharmacy wakasema hawana hizo PEP wakaniambia niende Palestina Hospital aisee kufika pale nikalazimishwa kupima kwa nguvu. Baadae ndio nikaenda kuchukua dawa nikapewa 3 kwanza nikaambiwa nyingine nizifuate kesho Yake aisee kufika nakutana na "wadau wa maendeleo" kliniki wamekondeana mpaka aibu.Daaa JF unaweza uonekane wewe una roho ya kifashisti kuchekelea matatizo ya wenzako, kumbe unacheka jinsi tatizo lilivyoelezewa...
Kuna shughuli nyingne inaitwa PEP 72HRS, ile unaweza ukainywa, baada ya masaa kadhaa unatafuta dawa uitapike,
Kwahyo mkuu unatumia pep kumbe? Sio full doseNiliwahi kuuza mechi nikaenda pharmacy wakasema hawana hizo PEP wakaniambia niende Palestina Hospital aisee kufika pale nikalazimishwa kupima kwa nguvu. Baadae ndio nikaenda kuchukua dawa nikapewa 3 kwanza nikaambiwa nyingine nizifuate kesho Yake aisee kufika nakutana na "wadau wa mendeleo" kliniki wamekondeana mpaka aibu.
In rais Mwinyi's voice 😂 😂Ugonjwa umekaa pabaya sana....
Kwanini hutulii sasa na weweHiyo ilikua 2017. Nilipata aibu Mara 2....kliniki...home nilibambwa na wife nabugia kwa siri
kheri hizo dawa maana unaweza kuishi hata 20 years ila kuna magonjwa kama cancer yakishakutafuna, chances za kutoboa ni ndogo mkuu.
Kula tu njugu zako in peace mkuu #chaMsingiUhaiTu
Acha tu wewe, unadhani kila anaepata ngoma anapata kizembe.Komaaa wamesema wenyewe utaisha 2030, kwa hiyo sasa hivi unaishi kwa bwana matumaini?
Ila mkuu pamoja na elimu yote hii bado unapata moto!!?
Hahahaha [emoji23]ha-ha :We will never leave beating sticks.
Kamwe hatutaacha kupiga miti.
Mkuu kama umeupata moto kwa PISI kai kama binti wa Kagame sikulaumu ila kama umeukwaa kwa baa medi we utakua ni bonge la fa,la!!Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu.
UPDATE
Kama umeoa Bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
I agree with u. we are on the same point.Matendo kivipi mkuu Kuna ngono hatarishi kukwepa ni ngumu ukiwa makini hupati sasa imagine wafukua tope 95% chance ya kuukwaa ni kubwa mno au ukiwa mlevi ni kuparamiana na kuchubuana had damu unategemea Nini?
Kuna hosp nilikuaapo wakat nipo Internship , Kwa siku wagonjwa wapya wa huu ugonjwa walikua wakigundulika 20--30 kila siku.Hivi kwenye hayo madirisha huwa Kuna watu wengi kiasi hicho aisee hadi watengewe sehemu, dah ndio maana Mimi nyegezi sina kabisa kwa mtindo huo wallah