Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc joshua_okHuyu bwana mwaka fulani sikumbuki exactly hasa ilikuwa mwaka gani alipandisha uzi wake hapa akizitaja corner zote Dar wanakojiuza malaya na akaenda mbali zaidi kuwataja baadhi yao kwa majina na # zao za simu akawa ameweka kwa wale watakotaka kuwatafuta.
Tuishi kwa tahadhari tukizithamini afya zetu.
Una kumbu kumbu nzuri sanaKuna uzi fulani wa kupeana machimbo wa malaya wewe jamaa uli participate vizuri sana sasa naona chimbo limejibu
I see....Na experience ya kutosha kuhusu ugonjwa wa cancer.
Daaah! Kwenye lishe hapo namkumbuka uncle . Alikuwa na shehena kabisa ya unga wa ulezi,alipofariki wacha tuushambulie na blue band zake[emoji38]Daaah nimeshuhudia hii makitu nin a ndugu zangu wa damu kabisa wanapitia hii hali ,yaan wanachoreka balaa.
Hapa kitaa siku ya kuchukua doz inajulikana kabisa kwa wiki mara mbili ,ukipita hayo maeneo haki hata kama ulikuwa na promise hiyo siku utapiga chini jumla.
Wanapewa had lishe ya unga wa ulezi ,sema nashukuru mungu wamekubaliana na hali maana hakuna namna.
Bahat mbaya wote wameupata kwenye ndoa zao ,kabla ya ndoa zao hawakuwa na mambo mengi ila walipo ingia kwenye ndoa ndio wakakutana na hii janga .
Ni mama zangu wadogo wapo wawil wote wameumia [emoji24][emoji24][emoji24] kibaya Zaid waume zao wote walishakata ,hivyo wameachiwa ngoma na ujane juu.
Wadau tuombe mungu tu ngoma unaweza kuipata hata kama sio mwingi wa mambo hii ni kama ajal tu.
Ila kuchoreka hakukwepek maana lazima tu utajulikana pengine ugome kunywa hizo arv ,
Kuna wengine wanawatumia manens ili wawaletee majumban mwao hizo dawa kwa malipo fulani , utafanya ivo lakin Kuna muda utajulikana tu maana Kuna siku itakulazim ufike physically hospital .
Kuna wengine wanachukulia hizo dawa mbali na mji anaoishi mfano mtu anaishi kawe dawa anachukulia mbagala huko lakin dunia Haina Siri utajulikana tu dawa ni kujikubali tu .
Oya mnaotumia arv mnaruhusiwa kunywa beerUkubwa wa ARV moja Ni sawa na punje ya korosho. Unabwia daily mida ile ile. Aisee Ni taabu
Ile haina madhara unapiga tu konyagi zako kama kawaida
Una tatizo la Pumu? Ili usiupate UKIMWI ( Dally Kimoko ) unatakiwa uwe na Mambo mawili kwa wakati Mmoja yaani uwe na Pumu ile ya Kurithi na Damu ya Group O+ ila kama una Kimojawapo tu tafadhali Acha Umalaya ( Uhuni ) na ukienda ' Kutiana ' tumia Condoms usije ' Kuukwaa ' huo Ugonjwa, Ukafa na JamiiForums hadi Tanzania ikakukosa.🤣🤣🤣 Hata mm group o+
Kama ni miongoni mwao pumbavu sana na ww.Umeona ututukane kabisa Au sio[emoji41]
"Kujiuza" its just a term, issue ni matendo yako. Mahusiano yapoje na hao ulionao kwenye Mahusiano yako au huyo ulienae kwenye Mahusiano yako Mahusiano yake yapoje? Ukimwi ni mgumu sana kupata na ni rahisi sana kuupata vilevile. Kikubwa ni kumuomba Allah tu.Mimi sijiuzi na Nina check afya yangu Mara nyingi, na mhurumia mkeo
Kweli mkuu uliyoongea tunaishi na hawa ndugu zetu hata Mimi kwenye familia yangu ndugu kibao wanapitia hali hii na wamejikubali na life linasonga na ndio maana kule juu coment yangu nimesema watu humu wanajidai Kama wapo swafi kabisa kumbe Kuna tatizo pahaliDaaah nimeshuhudia hii makitu nin a ndugu zangu wa damu kabisa wanapitia hii hali ,yaan wanachoreka balaa.
Hapa kitaa siku ya kuchukua doz inajulikana kabisa kwa wiki mara mbili ,ukipita hayo maeneo haki hata kama ulikuwa na promise hiyo siku utapiga chini jumla.
Wanapewa had lishe ya unga wa ulezi ,sema nashukuru mungu wamekubaliana na hali maana hakuna namna.
Bahat mbaya wote wameupata kwenye ndoa zao ,kabla ya ndoa zao hawakuwa na mambo mengi ila walipo ingia kwenye ndoa ndio wakakutana na hii janga .
Ni mama zangu wadogo wapo wawil wote wameumia [emoji24][emoji24][emoji24] kibaya Zaid waume zao wote walishakata ,hivyo wameachiwa ngoma na ujane juu.
Wadau tuombe mungu tu ngoma unaweza kuipata hata kama sio mwingi wa mambo hii ni kama ajal tu.
Ila kuchoreka hakukwepek maana lazima tu utajulikana pengine ugome kunywa hizo arv ,
Kuna wengine wanawatumia manens ili wawaletee majumban mwao hizo dawa kwa malipo fulani , utafanya ivo lakin Kuna muda utajulikana tu maana Kuna siku itakulazim ufike physically hospital .
Kuna wengine wanachukulia hizo dawa mbali na mji anaoishi mfano mtu anaishi kawe dawa anachukulia mbagala huko lakin dunia Haina Siri utajulikana tu dawa ni kujikubali tu .
Hahahaa mkuu umenivunja mbavu .Daaah! Kwenye lishe hapo namkumbuka uncle . Alikuwa na shehena kabisa ya unga wa ulezi,alipofariki wacha tuushambulie na blue band zake[emoji38]
Nigee mawasiliano yake mkuu wangu, nina shida nae za kiutafitiNimewahi kutumia PEP siku 30 na zenyewe zina maluweluwe kama hizo ARV sina hamu, yaani mtihani. Nilibanduaga kavu kavu malaya aliyekubuhu bila kujua. Sema nilimfaidi sana maana alikuwa fundi kweli kweli.
Ila kiongozi nasikia zinaleta hamu ni balaa.. wote wake kwa waume !!Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu.
UPDATE
Kama umeoa Bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.