ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Msala mwingine kwenye kuchukua hizo ARV Ni mwendo wa counselling ya vikundi na foleni balaa. Mtu mzima unachoreka mpaka ujute. KMamae!
Shetani kazi yake huwa ni kukuonyesha fahari na kukuahidi kukupa vyote ukikubali kumsujudia ukikubali tu ni kweli anakupa na utaenjoy kweli ila kwenye matokeo anakuacha mwenyewe upambane na fadhaa
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Pole ndugu yangu, Don't feel bad. Uchukulie kama magonjwa mengine tu, si unaona watu wenye Corona wanakufa wenye HIV wanaendelea kupeta.
 
Hata mwenye ukimwi anaweza kupata cancer, Bora mwenye maumivu ya cancer bila ya ukimwi. kuliko upate ukimwi + cancer.

Zote ni probability, unaweza kuwa na cancer na ukapata ukimwi pia. Sio !!

Kama huna experience na cancer nenda hata kutembelea wagonjwa Ocean road uone wanavyoishi kwa tabu sababu ya mionzi, restrictions za vyakula, usumbufu wa hali ya hewa na mambo kibao ambayo mwenye virusi vya ukimwi hakutani nayo

Bottom line Yote ni magonjwa na Mungu ndie mwenye mipango yake ila amini kuna magonjwa dunia hii ukikutana nayo, utaamini ukimwi bila stigma na promo. Sio big deal kama wengi wanavyodhania kwa sasa
 
Mkuu mbona wengi tu humu wanakula vidonge! Kwa platform kama hii hawakosekani trust me Hauko mwenyewe..na bado kuna wengine wanatembea gizani(hawajui afya zao) fuata masharti mkuu na endelea na mishe zako!

Na hii style yenu ya kwenda kwa Mpalange aisee mnaponaje kwa mfano..usijali mkuu kwa comments za kukusanifu.
 
zote ni probability, unaweza kuwa na cancer na ukapata ukimwi pia. Sio !!

kama huna experience na cancer nenda hata kutembelea wagonjwa ocean road uone wanavyoishi kwa tabu sababu ya mionzi, restrictions za vyakula, usumbufu wa hali ya hewa na mambo kibao ambayo mwenye virusi vya ukimwi hakutani nayo

Bottom line Yote ni magonjwa na Mungu ndie mwenye mipango yake ila amini kuna magonjwa dunia hii ukikutana nayo, utaamini ukimwi bila stigma na promo. Sio big deal kama wengi wanavyodhania kwa sasa
Hakika[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom