Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mwenye ukimwi anaweza kupata cancer, Bora mwenye maumivu ya cancer bila ya ukimwi. kuliko upate ukimwi + cancer.kheri hizo dawa maana unaweza kuishi hata 20 years ila kuna magonjwa kama cancer yakishakutafuna, chances za kutoboa ni ndogo mkuu.
Kula tu njugu zako in peace mkuu #chaMsingiUhaiTu
Kwa Sisi wenye Pumu za Kurithi na Damu zetu ni Group O+ huu Uzi na Ushauri wako wala hautuhusu kwani Sisi ' Kitabibu ' ni kwamba hatuwezi kamwe Kuambukizwa huo UKIMWI na Binafsi nimeshalifanyia Majaribio mwaka 2008 tena mwaka 2011 na mwaka 2014 kwa Makusudi na kujua kabisa ' ninaowabandua ' wameshaathirika ( tena niliuza Mechi namaanisha sikutumia kabisa Condom ) ila sijaipata na kupima Hospitali zote Kubwa zenye Wataalam na Madaktari Bingwa sijakutwa nao.Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Huyu bwana mwaka fulani sikumbuki exactly hasa ilikuwa mwaka gani alipandisha uzi wake hapa akizitaja corner zote Dar wanakojiuza malaya na akaenda mbali zaidi kuwataja baadhi yao kwa majina na # zao za simu akawa ameweka kwa wale watakotaka kuwatafuta.
Tuishi kwa tahadhari tukizithamini afya zetu.
Elimu inazuia Ukimwi? Wakati mwingine Ukimwi unaupata kutoka kwa unayemwamini ie mkeo maana kama usingemwamini ungejikinga.Komaaa wamesema wenyewe utaisha 2030, kwa hiyo sasa hivi unaishi kwa bwana matumaini?
Ila mkuu pamoja na elimu yote hii bado unapata moto!!?
Njia nzuri ni direct injection. Sindano yenye damu hiv+ jidunge leta majibu in 4 to 6month.Kwa Sisi wenye Pumu za Kurithi na Damu zetu ni Group O+ huu Uzi na Ushauri wako wala hautuhusu kwani Sisi ' Kitabibu ' ni kwamba hatuwezi kamwe Kuambukizwa huo UKIMWI na Binafsi nimeshalifanyia Majaribio mwaka 2008 tena mwaka 2011 na mwaka 2014 kwa Makusudi na kujua kabisa ' ninaowabandua ' wameshaathirika ( tena niliuza Mechi namaanisha sikutumia kabisa Condom ) ila sijaipata na kupima Hospitali zote Kubwa zenye Wataalam na Madaktari Bingwa sijakutwa nao.
Sasa msio na Pumu za Kurithi na Damu Group O+ niigeni GENTAMYCINE muanze Kulipiga vizuri Gitaa la Solo la Dally Kimoko na ' mpukutike ' mkayaanze Maisha yenu mapya Udongoni hapa Mjini au huko Vijijini Kwenu ( Mwenu )
Daah, ule mchepuko wa Kinondoni umefanya yake mkuu?Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Hahaha nakuelewa EUgonjwa umekaa pabaya sana....
Pole sana mkuu sema lifestyle yako nilijua tu lazima uungue maana nyuzi zote za machimbo ya makahaba Dar lazima uwe main participant wa kutoa ushuhuda jinsi ulivyovuruga malaya wa Dar ....sema pole sana mkuuWakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Pole sana mkuu , sasa wale wanaozaliwa nao nao wavalie wapi condoms?Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Hakuna wa kuchomoka yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ugonjwa umekaa pabaya sana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi hii kila mtu anajidai Hana Ngwengwe na ARV hazijui. Bongo raha. Mpaka abanwe mbavu na kuharisha kwenye diapers "pampers" ndo mtu anakubali matokeo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo lako humezi vizuri za mchana unameza usiku na za usiku unameza mchana ndio shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi mkuu kimeumana au!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila nyie watu khaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]avumilie tu taa zinavyowaka pamoja na ngurumisha mafrige na macrowave na kuwasha tv[emoji23][emoji23][emoji23] maana ndio kazi ya umeme
Daaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wale watoto.wako mapacha kutoka kwa mpango wa kando wa kinondoni unewachek afya nao ?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yaan ni tafrani tupu lol, [emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wanapataka wazee wanapataka
Tena atakua anapiga counter tack ya usambazaji kwa ID yake nyingine. DaaaahEleza vizuri mkuu kilichokupata,lini uligundulika na grid ya taifa? Walinde pia madada wa JF usiwaambukize makusudi.