ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Kheri hizo dawa maana unaweza kuishi hata 20 years ila kuna magonjwa kama cancer yakishakutafuna, chances za kutoboa ni ndogo mkuu.

Kula tu njugu zako in peace mkuu #chaMsingiUhaiTu
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Pole mzee baba ila ndo maisha hayo bwana, siyo wote wamepata kwenye ngono.....
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Mie nilishasema ikitokea siku nimeukwaa sintokuja kutumia hizo njugu,
Nabadili mtindo wa maisha na kula diet inayoeleweka pia naacha ngono basi maisha yatasonga tu
 
Huyu bwana mwaka fulani sikumbuki exactly hasa ilikuwa mwaka gani alipandisha uzi wake hapa akizitaja corner zote Dar wanakojiuza malaya na akaenda mbali zaidi kuwataja baadhi yao kwa majina na # zao za simu akawa ameweka kwa wale watakotaka kuwatafuta.

Tuishi kwa tahadhari tukizithamini afya zetu.
Mbaya zaidi ni sisi wapiga punyeto tunadharaulika sana
 
Back
Top Bottom