ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

zote ni probability, unaweza kuwa na cancer na ukapata ukimwi pia. Sio !!

kama huna experience na cancer nenda hata kutembelea wagonjwa ocean road uone wanavyoishi kwa tabu sababu ya mionzi, restrictions za vyakula, usumbufu wa hali ya hewa na mambo kibao ambayo mwenye virusi vya ukimwi hakutani nayo

Bottom line Yote ni magonjwa na Mungu ndie mwenye mipango yake ila amini kuna magonjwa dunia hii ukikutana nayo, utaamini ukimwi bila stigma na promo. Sio big deal kama wengi wanavyodhania kwa sasa
Na experience ya kutosha kuhusu ugonjwa wa cancer.
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Usiogope wala usijal. Nina ndugu yangu anatumia toka mwaka 2000, anadunda tu. Bora ngoma kuliko kisukari au kansa. Take easy
 
Pole sana, subiri 2030 mkuu. UKIMWI utasepa kama ulivyokuja.
 
Msala mwingine kwenye kuchukua hizo ARV Ni mwendo wa counselling ya vikundi na foleni balaa. Mtu mzima unachoreka mpaka ujute. KMamae!
Daaah nimeshuhudia hii makitu nin a ndugu zangu wa damu kabisa wanapitia hii hali ,yaan wanachoreka balaa.

Hapa kitaa siku ya kuchukua doz inajulikana kabisa kwa wiki mara mbili ,ukipita hayo maeneo haki hata kama ulikuwa na promise hiyo siku utapiga chini jumla.

Wanapewa had lishe ya unga wa ulezi ,sema nashukuru mungu wamekubaliana na hali maana hakuna namna.

Bahat mbaya wote wameupata kwenye ndoa zao ,kabla ya ndoa zao hawakuwa na mambo mengi ila walipo ingia kwenye ndoa ndio wakakutana na hii janga .

Ni mama zangu wadogo wapo wawil wote wameumia [emoji24][emoji24][emoji24] kibaya Zaid waume zao wote walishakata ,hivyo wameachiwa ngoma na ujane juu.

Wadau tuombe mungu tu ngoma unaweza kuipata hata kama sio mwingi wa mambo hii ni kama ajal tu.
Ila kuchoreka hakukwepek maana lazima tu utajulikana pengine ugome kunywa hizo arv ,

Kuna wengine wanawatumia manens ili wawaletee majumban mwao hizo dawa kwa malipo fulani , utafanya ivo lakin Kuna muda utajulikana tu maana Kuna siku itakulazim ufike physically hospital .

Kuna wengine wanachukulia hizo dawa mbali na mji anaoishi mfano mtu anaishi kawe dawa anachukulia mbagala huko lakin dunia Haina Siri utajulikana tu dawa ni kujikubali tu .
 
Kwa Sisi wenye Pumu za Kurithi na Damu zetu ni Group O+ huu Uzi na Ushauri wako wala hautuhusu kwani Sisi ' Kitabibu ' ni kwamba hatuwezi kamwe Kuambukizwa huo UKIMWI na Binafsi nimeshalifanyia Majaribio mwaka 2008 tena mwaka 2011 na mwaka 2014 kwa Makusudi na kujua kabisa ' ninaowabandua ' wameshaathirika ( tena niliuza Mechi namaanisha sikutumia kabisa Condom ) ila sijaipata na kupima Hospitali zote Kubwa zenye Wataalam na Madaktari Bingwa sijakutwa nao.

Sasa msio na Pumu za Kurithi na Damu Group O+ niigeni GENTAMYCINE muanze Kulipiga vizuri Gitaa la Solo la Dally Kimoko na ' mpukutike ' mkayaanze Maisha yenu mapya Udongoni hapa Mjini au huko Vijijini Kwenu ( Mwenu )
Wewe jamaa ndezi sana ujue
 
Daaah nimeshuhudia hii makitu nin a ndugu zangu wa damu kabisa wanapitia hii hali ,yaan wanachoreka balaa.

Hapa kitaa siku ya kuchukua doz inajulikana kabisa kwa wiki mara mbili ,ukipita hayo maeneo haki hata kama ulikuwa na promise hiyo siku utapiga chini jumla.

Wanapewa had lishe ya unga wa ulezi ,sema nashukuru mungu wamekubaliana na hali maana hakuna namna.

Bahat mbaya wote wameupata kwenye ndoa zao ,kabla ya ndoa zao hawakuwa na mambo mengi ila walipo ingia kwenye ndoa ndio wakakutana na hii janga .

Ni mama zangu wadogo wapo wawil wote wameumia [emoji24][emoji24][emoji24] kibaya Zaid waume zao wote walishakata ,hivyo wameachiwa ngoma na ujane juu.

Wadau tuombe mungu tu ngoma unaweza kuipata hata kama sio mwingi wa mambo hii ni kama ajal tu.
Ila kuchoreka hakukwepek maana lazima tu utajulikana pengine ugome kunywa hizo arv ,

Kuna wengine wanawatumia manens ili wawaletee majumban mwao hizo dawa kwa malipo fulani , utafanya ivo lakin Kuna muda utajulikana tu maana Kuna siku itakulazim ufike physically hospital .

Kuna wengine wanachukulia hizo dawa mbali na mji anaoishi mfano mtu anaishi kawe dawa anachukulia mbagala huko lakin dunia Haina Siri utajulikana tu dawa ni kujikubali tu .
Ipo siku utabumbuluka tu
 
Wanawake ni watu wa kufikiri sana future za watoto hivyo wengi wakishaingia kwenye ndoa wanatulia but ni vice-versa kwa wanaume wanapiga sana puli kabla ya ndoa na kabla ya kupata noti but wazipatapo wanaanza kutembeza moto na kuleta ukimwi nyumbani, pumbavu zenu wanaume wote malaya
 
W

Umeona ututukane kabisa Au sio[emoji41]
 
Back
Top Bottom