Ha ha ha, ila ngwenge ya miaka ya 90 ndiyo ilikuwa kiboko - yaani ukimgeuza mgonjwa ngozi inabakia kwenye shuka....mtu aliyekuwa na kilo 80 anabakia na kilo 9 aisee !! mifupa mitupu !!Nchi hii kila mtu anajidai Hana Ngwengwe na ARV hazijui. Bongo raha. Mpaka abanwe mbavu na kuharisha kwenye diapers "pampers" ndo mtu anakubali matokeo
Hii ya sasa hivi ukipiga ARV zako fresh aaaa akujue nani hapa mjini ndugu!!