ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Msala mwingine kwenye kuchukua hizo ARV Ni mwendo wa counselling ya vikundi na foleni balaa. Mtu mzima unachoreka mpaka ujute. KMamae!
Ndio mkome,hasa nyie wenye magari wengi mnajitahidi
 
Na tena naona nyeto ni kama pushapu,hua mpaka wife anasema huchoki kunimbato,Mana inafanya humwagi haraka,ukipata mechi mpaka maku ya mwanamke inapata moto,samahani kwa uandishi ila ni ujumbe ufike
 
Kumeza dawa za kawaida tu dozi ya mwezi mmoja tu huwa ni mtihani,je lifetime dose si hatari hiyo
 
Ukimwi ni ngumu sana kuupata na ni rahisi sana kuupata kazio kwenye hili eneo mpaka unapata ukimwi ni umeutafuta kwa tochi punguzeni ujuaji kwenye bed ukimwaga inatosha akikudharau unapungukiwa nini?
All I know kila mmoja wetu ni mgonjwa mtarajiwa. Tupo kwenye risk sana haswa tuliooa. Maana we unaweza kuwa umetulia unajitunza mwenzio kumbe anachepuka na Mgonjwa!
 
Wewe umewahi kutumia ARVs? Labda tuanzie hapo utupe feedback
 
Piga punyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…