ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Mbona husemi alikujibu nn baada ya kujua umegundua kuwa anaug
Aliniambia kuwa yeye pale kriniki ana dada yake( ninamfahamu), alimseti kwenye makadi ya dawa ,huwa kuna pesa zikiingia kwa ajili ya kuwagawia wagonjwa,sasa wahusika huwa na wagonjwa wengi hewa,kwa hiyo huwa kuna upigaji,yeye alikuwa mgonjwa feki,
Hivyo nikamwambia ili kuondoa utata tukapime, akakataa, nikamuacha,ila kwa mbinde, maana alikuwa ananiendea mpaka kwa waganga,bi mkubwa akaingilia kati mpambano,nikafanikiwa kuchomoka salama.
 
Na huwezi amini kuna nyumbu wengi sana wameshaswagwa na huo upotoshaji!
 
Pole sana mkuu..utazoea tu,,endelea kumeza njegere

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duuuh
 
Still anasurvive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…