ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Zinasaidia kwa zaidi ya 80% endapo utawahi kabla ya masaa 72 baada kumbandua mwenye ngoma, pia ufate masharti ya kunywa vidonge vyote kwa muda sahihi kwa mwezi mzima.
Sema sasa ndio uwe mvumilivu maana vinalewesha na unakuwa kama unaumwa hivi.
Mwezi??[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa mwaka gani hii?...wanaomeza dawa huwezi wakuta na haya maishu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
2011 jamaa alikuwa fundi ujenzi tulikuwa tukimpatia kazi mfuko mmoja wa cement hawezi maliza hadi tukamkacha.
Ngozi ya usoni ilikuwa imekakamaa halafu imekuwa nyeusii tii ,lips nyekundu utadhani kapaka lipstick.

Ila nilijifunza kitu, kwenye kuchagua mkee wa kuoa ,yule mama alikuwa na mapenzi ya kweli kwa mmewake sio kwa ujasiri ule aliokuwa anaonesha kumsaidia mme wake ,hivi hivi mwingine anakukimbia.
 
Sio siri ule uzi wa kula tunda kimasihara,umekaa kama ni wa burudani kwa vijana walio wengi. Ila amini usiamini unahamasisha ngono hatari. Nina uhakika toka uanze ule uzi umewapeleka vijana wengi kunako.
Vijana wengi wakipitia ule uzi wanajiamini hatari,wanatamani hata kubaka eti ndio kimasihara yenyewe.
 
Zinasaidia kwa zaidi ya 80% endapo utawahi kabla ya masaa 72 baada kumbandua mwenye ngoma, pia ufate masharti ya kunywa vidonge vyote kwa muda sahihi kwa mwezi mzima.
Sema sasa ndio uwe mvumilivu maana vinalewesha na unakuwa kama unaumwa hivi.
Next time waambie wakupe TLD.. Dolutegravir instead of Efavirens. Utaepukana na karaha ya maluweluwe
 
Ni kweli asilimia kubwa ya watu wenye O+ hawapati HIV kirahisi, nina mfano hai wa mtu wangu wa karibu kabisa, miaka hiyo yule bwana na mahawara zake kibao walishaiacha dunia kwa ukimwi ila yeye yupo hadi leo, kila akipima ni negative
Never ever try it anywhere, be it at home or work
 
Mbona wanasema hata miaka 20 unaishi ukiwa unameza tembe?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
cc Kula tunda kimasihara
 
yeah kuna mzee huku kitaa anafuta tangia 2006 sasa hivi ana Bonge la mwili kuna manzi nilikulaga kimasihara, sasa siku hiyo nipo kitaa nasikia yule mzee mwenye futa naye kapiga sababu mzee anatoa sana hela kwa wanawake yeye anatongozea hela

baada ya kusikia yule mzee kapita kichwa kiliniuma ghafla na nikanyongea ila nikakaza kwenda kupima nikawa fresh.

hii kula kimasihara na ngono zembe ni risk sana
 
Ulikula kavu?
 
Matendo kivipi mkuu Kuna ngono hatarishi kukwepa ni ngumu ukiwa makini hupati sasa imagine wafukua tope 95% chance ya kuukwaa ni kubwa mno au ukiwa mlevi ni kuparamiana na kuchubuana had damu unategemea Nini?
dada tema mate chini kama una imani sema Asante Mungu maisha kwa ujumla wake yana mengi sana
 
Dah! Pole sana matumaini ya hiyo kirusi kuisha ni makubwa sana kwa sasa na wakati ujao, pia baadhi ya watumiaji wazuri wa ARV wameripotiwa kufubaza kirusi kwa asilimia 99.9
 
kwanini alikataa kwenda kucheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…