X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
pole sana...likini...hiyo kitu bwana imekalia pabaya sana..asikwambie mtu...si mlaum ata kidogo anae tumia na wala si msifu ambae hajawahi kutumia...ugonjwa upo kama ajali tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hakika umenena, Mwanaume kupata ukimwi ni kujitakia mwenyewe, hivi wewe una akili timamu mtu hamjapima na kondom hakuna halafu demu ni mpya afu unaenda kavu kavu zaidi ya dakika 4 mpaka 5? piga kamoja vaa nguo zako ondoka hilo eneo la tukio, kama hajaridhika atakutafuta mwenyewe kwa shida hiyo na ndo hapo mtapima au mtatumia kondomualafu sisi tunaotumia viks ndiyo tupo kwenye hatari upo kiunoni kwa mtu masaa matatu unasugua tu
Nimeielewa mkuu. Hapo huyo mdada anaenda kuliwa hapo bodaboda anapewa rocation ipelekwe machinjio gani. Lakini mbinguni naenda ksbb mimi ni mchungaji mkuu[emoji41] na ARV utatumia tuView attachment 1820383
Alikuwa anakimbilia kwenye 50 yrs soo pengine aliupata akiwa 30's huko miaka ya 90s so unaweza kukuta ni mmoja kati ya walio survive vifo vya fedhea miaka ya nyuma, wakati ambapo watu walikuwa wanakufa kwa fedhea kama wanyama kwa kukosa dawa za kufubaza hivyo virusiJamani si Wanasema ukiwa unameza dawa unaishi 20yrs au yy alikuwa hamezi?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tatizo zinabana sana, tutaendelea kupima kwa macho tuu yaaniKondomu Iwe Lazima Kama bima ya Gari. Watu walazimishwe kuvaa kondomu Watake-wasitake.
Ee bwana! Nilibanduaga malaya kabisa mwenye kiwango halafu mbichi mbichi bila kujua kama ni malaya. Hiyo siku nilikuwa nimebet nikala, so hela niliyompa aliifurahia akanipa mastaili yote ya town.
Unatumia standard treatment guidelines ya nchi gani mkuu STG yetu pale tu utakapo gundulika una maambukizi utaanza kutumia dawaMkuu ARV zimamezwa pale kinga zinaposhuka zaidi..siyo tangu ugundulike...
Hapo kwenye maandalizi hapo panaleta utataKama demu humwamini au ni mpya na huna condom kwa wakati huo na vipimo huna, njia rahisi ya kujikinga na ukimwi ni kupiga bao moja la maandalizi na la muda mfupi sana hata dakika 3-5 nyanyuka vaa suruali yako ondoka muache hapo, kama anataka aridhishwe atakutafuta yeye kwa muda wake mpime au mtumie kondom
Pole mkuu[emoji16][emoji16]Ee bwana! Nilibanduaga malaya kabisa mwenye kiwango halafu mbichi mbichi bila kujua kama ni malaya. Hiyo siku nilikuwa nimebet nikala, so hela niliyompa aliifurahia akanipa mastaili yote ya town.
Asubuhi nikawa nahisi maumivu, kujicheki ndudu imechubuka upande mmoja kama gari iliyopigwa pasi.
Nilikunywa hayo madonge mwezi mzima bila kukosa sina hamu na sitarudia tena kuuza mechi.
Yaani unakuwa unaota kama maluweluwe hivi! mara kama njaa inauma! mara kama homa hivi!
Daah kujichoma choma hayo masindano ya Bioline nayo inahitaji moyo [emoji848][emoji848]uzi umenifanya nikapita kucheki aisee tuache ngono zembe na kula kimasihara View attachment 1820467
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jinga sana weweKondomu Iwe Lazima Kama bima ya Gari. Watu walazimishwe kuvaa kondomu Watake-wasitake.
Ivi sijui ni kwanini watu wengi hupitia iyo haliEe bwana! Nilibanduaga malaya kabisa mwenye kiwango halafu mbichi mbichi bila kujua kama ni malaya. Hiyo siku nilikuwa nimebet nikala, so hela niliyompa aliifurahia akanipa mastaili yote ya town.
Asubuhi nikawa nahisi maumivu, kujicheki ndudu imechubuka upande mmoja kama gari iliyopigwa pasi.
Nilikunywa hayo madonge mwezi mzima bila kukosa sina hamu na sitarudia tena kuuza mechi.
Yaani unakuwa unaota kama maluweluwe hivi! mara kama njaa inauma! mara kama homa hivi!
Mtu unaweza chukulia mkoa mwingineMsala mwingine kwenye kuchukua hizo ARV Ni mwendo wa counselling ya vikundi na foleni balaa. Mtu mzima unachoreka mpaka ujute. KMamae!
Na experience ya kutosha kuhusu ugonjwa wa cancer.
Usisahau sukari
Ukweli ni kwamba, hakuna mtu yuko safe. Ukimwi hauchagui dini, umri, kabila gender,umeolewa, Single, hata kama ww hu cheat, Partner wako anaweza ku chat, wote tumo, ni kuomba mungu tuu.sawa
sukari na yenyewe ni shida ila Mungu tu atusaidie kwa kweli