ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

alafu sisi tunaotumia viks ndiyo tupo kwenye hatari upo kiunoni kwa mtu masaa matatu unasugua tu
Mkuu hakika umenena, Mwanaume kupata ukimwi ni kujitakia mwenyewe, hivi wewe una akili timamu mtu hamjapima na kondom hakuna halafu demu ni mpya afu unaenda kavu kavu zaidi ya dakika 4 mpaka 5? piga kamoja vaa nguo zako ondoka hilo eneo la tukio, kama hajaridhika atakutafuta mwenyewe kwa shida hiyo na ndo hapo mtapima au mtatumia kondomu

Kwani ukipiga bao moja kwa mtu usiyemjua status yake atakucheka? bora akucheke lakini moyoni unajua kwa nn umefanya hivo
 
Jamani si Wanasema ukiwa unameza dawa unaishi 20yrs au yy alikuwa hamezi?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Alikuwa anakimbilia kwenye 50 yrs soo pengine aliupata akiwa 30's huko miaka ya 90s so unaweza kukuta ni mmoja kati ya walio survive vifo vya fedhea miaka ya nyuma, wakati ambapo watu walikuwa wanakufa kwa fedhea kama wanyama kwa kukosa dawa za kufubaza hivyo virusi
 
Mwezi??[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ee bwana! Nilibanduaga malaya kabisa mwenye kiwango halafu mbichi mbichi bila kujua kama ni malaya. Hiyo siku nilikuwa nimebet nikala, so hela niliyompa aliifurahia akanipa mastaili yote ya town.
Asubuhi nikawa nahisi maumivu, kujicheki ndudu imechubuka upande mmoja kama gari iliyopigwa pasi.
Nilikunywa hayo madonge mwezi mzima bila kukosa sina hamu na sitarudia tena kuuza mechi.

Yaani unakuwa unaota kama maluweluwe hivi! mara kama njaa inauma! mara kama homa hivi!
 
Mkuu ARV zimamezwa pale kinga zinaposhuka zaidi..siyo tangu ugundulike...
Unatumia standard treatment guidelines ya nchi gani mkuu STG yetu pale tu utakapo gundulika una maambukizi utaanza kutumia dawa
According to current TZ STG 2021
 
Kama demu humwamini au ni mpya na huna condom kwa wakati huo na vipimo huna, njia rahisi ya kujikinga na ukimwi ni kupiga bao moja la maandalizi na la muda mfupi sana hata dakika 3-5 nyanyuka vaa suruali yako ondoka muache hapo, kama anataka aridhishwe atakutafuta yeye kwa muda wake mpime au mtumie kondom
Hapo kwenye maandalizi hapo panaleta utata
 
Ee bwana! Nilibanduaga malaya kabisa mwenye kiwango halafu mbichi mbichi bila kujua kama ni malaya. Hiyo siku nilikuwa nimebet nikala, so hela niliyompa aliifurahia akanipa mastaili yote ya town.
Asubuhi nikawa nahisi maumivu, kujicheki ndudu imechubuka upande mmoja kama gari iliyopigwa pasi.
Nilikunywa hayo madonge mwezi mzima bila kukosa sina hamu na sitarudia tena kuuza mechi.

Yaani unakuwa unaota kama maluweluwe hivi! mara kama njaa inauma! mara kama homa hivi!
Pole mkuu[emoji16][emoji16]

Ni mwiko kuuza mechi

Ivi sijui ni kwanini watu wengi hupitia iyo hali
 
Back
Top Bottom