ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah mkuu! Unataka kusema mtu akianza kuzitumia...huwa anajisikia mwili wake normal compared na kabla hajaanza kuzinywa?!?

Mimi nasema hivi; ARV / PEP unapoanza kuzinywa, Mwili unabadili unakuwa kama unaumwa homa vile...tena ile siku ya kwanza unakunywa utajisikilizia mwenyewe, mimi niliwahi kutumia PEP...Siku ya kwanza nisikia kupepesuka...kitanda nikawa nakiona kinazunguka, na Mwezi mzima mwili haukuwa fit.

Kwa Taarifa tu, nimekunywa PEP kama mara 3 vipindi tofauti...ma zote nimeExperience...naona pia za hivi karibuni wameziboresha (au labda pia zimenikuta naonja onja SBL[emoji23] ,kwamba sizisikii mizuka ya kupepesuka sana lkn mwili unakuwa haupo sawa mwezi mzima)
 
Hatari na nusu una roho ngumu, ila hayo mauza uza ya dawa duh
 
Hatari na nusu una roho ngumu, ila hayo mauza uza ya dawa duh
Tena nilimaliza kopo zima na vingine viwili vya ziada.
Maana nilienda siku ya ijuma wakati ambao wale wahudumu wa hospitali ndio wanaondoka na wengine wameshatoka. Jamaa niliyemkuta akaniambia nije jumatatu, ukipiga hesabu nimebandua demu alhamisi, nikipiga hesabu hadi jumatatu yatakuwa yamepita masaa 72.
Jamaa ndio akaniambia nakupa vidonge viwili ila hatuandikiani sehemu yoyote, ila jumatatu uje uchukue kopo zima kwenye chumba kilee!
 
J3 ikawaje?
 
J3 ikawaje?
Tena sikupewa vidonge viwili nimechanganya, nilipewa vitatu ile ijumaa yaani cha kunywa ile ijumaa, jumamosi na jumapili then jumatatu ndio nikachukue kopo zima.
Sasa jumatatu niliporudi nikaenda kwenye chumba nilichoelekezwa pale hospitali.

Pale nikaulizwa majina yangu, mtaa ninaotoka, namba ya simu na siku ya kutom.ba. Nilichoongea cha ukweli ni siku ya kubandua tu. Akataka na kile kikadi cha kuonesha nimepima na nimeonekana mzima maana PEP hapewi ambaye ni +ve, nikamwambia kikadi nilimwachia ijumaa jamaa aliyenipa vidonge vitatu siku ya ijumaa.
Baada ya hapo akanielekeza niende chumba cha ushauri nasaha, nikamkuta mama fulani huko.

Huko nako nilichoongea cha ukweli ni siku ya kubandua na miaka yangu tu, sikuongea ukweli kuwa nimebandua malaya mwenye ngoma.
Nilimwambia nina demu wangu wa UDOM amerudi likizo so nimebandua ila badae nimeona ARV kwenye mkoba wake (kumbe uongo mtupu)
Mwisho akanielekeza chumba cha kuchukua PEP zangu
 
Kwani zile mbinu wanazohubiri wafuasi wa mwendakuzimu kwamba tutumie mbinu zetu za asili tuachane na mbinu zamagharibi. hizo mbinu za asili hazifai kwenye Ukimwi ni Corona peke yake? Achaneni na madawa ya wazungu tumieni mbinu zenu za asili zinazohubiriwa kila siku bungeni na wafuasi wa wa mwendakuzimu turudi enzi zile ulipoitwa AIDS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…