ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa Bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
Pole Sana na hongera pia, ishi kwa matumaini Sasa wala usichoshe akili yako utazizoea tu mkuu.
 
We acha tu. Nitamlaumu shetani bure kumbe mie ndo chanzo...

Afu ubaya sasa wapuuzi wote watatu simu zao hazipatikani..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uta nishauri nn mimi nnae waza kunywa vidonge viwili ili ni nenepe kama nyinyi
Hakikisha unakula vizuri, ondoa mawazo( ni kinga tuu imeshuka) sali mungu akupe nguvu na amani. Ja pia hauko pekeyako, wako wengiiii hawasemi tuu.
 
Mi ndugu yangu anaishi moro ila anachukulia mnazi mmoja...manesi anawapa mshiko wa maana maana mi ratiba zangu zilibana kuwa namtumia kwenye basi, so wao now ndo wanafanya hii shughuli

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Aaah mkuu! Unataka kusema mtu akianza kuzitumia...huwa anajisikia mwili wake normal compared na kabla hajaanza kuzinywa?!?

Mimi nasema hivi; ARV / PEP unapoanza kuzinywa, Mwili unabadili unakuwa kama unaumwa homa vile...tena ile siku ya kwanza unakunywa utajisikilizia mwenyewe, mimi niliwahi kutumia PEP...Siku ya kwanza nisikia kupepesuka...kitanda nikawa nakiona kinazunguka, na Mwezi mzima mwili haukuwa fit.

Kwa Taarifa tu, nimekunywa PEP kama mara 3 vipindi tofauti...ma zote nimeExperience...naona pia za hivi karibuni wameziboresha (au labda pia zimenikuta naonja onja SBL[emoji23] ,kwamba sizisikii mizuka ya kupepesuka sana lkn mwili unakuwa haupo sawa mwezi mzima)
Ongeza umakini kwenye shuguli zako 3 times its many kuwa exposed utakuja kujilaum kuwa. Makini
 
Hahaha sisi wenye group 0+ tunatesa tuuu.hivi ni kweli hatupati magonjwa kirahisi? Ila kama kuna ukweli hivi ....nilitembeaga na mdada mmoja hivi kavukavu na nikaja kusikia ameungua hahaha nilikonda ndani ya week tu. Nilikuja kupima baadaya wife kushika mimba hiyo siku nusura nikimbie majibu yangu nilitoka jasho mpaka pumbuuuuu zikalowa.toka hapo nimejiapiza sitouza match tenaaa
[emoji38][emoji38] mi kwa nilikopita nilijiapiza siji kupima, nikaja kupata demu fulani hivi nikasema ngoja nitulie nae, akasema kabla ya mahusiano tupime kwanza, siji kusahau ile siku, wallah unakimbia majibu aisee.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom