Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwapime[emoji23][emoji23][emoji23] bado unawatakia nini unataka bado ukauze mechi?
Pole Sana na hongera pia, ishi kwa matumaini Sasa wala usichoshe akili yako utazizoea tu mkuu.Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa Bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]We acha tu. Nitamlaumu shetani bure kumbe mie ndo chanzo...
Afu ubaya sasa wapuuzi wote watatu simu zao hazipatikani..
Unanicheka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We nae mjinga tu, uko bize unatisha tisha watu!Bora nyetto
[emoji1787][emoji1787][emoji16]Tuliza mshono dear.
Hakikisha unakula vizuri, ondoa mawazo( ni kinga tuu imeshuka) sali mungu akupe nguvu na amani. Ja pia hauko pekeyako, wako wengiiii hawasemi tuu.Uta nishauri nn mimi nnae waza kunywa vidonge viwili ili ni nenepe kama nyinyi
Pole mkuu,sio wa sinza kweli?Bana eeeh mmoja kati ya wale 3 amekufa na kuzikwa juzi ( japo hajafa kwa ngoma)
Anapata moto au anapeleka moto?Komaaa wamesema wenyewe utaisha 2030, kwa hiyo sasa hivi unaishi kwa bwana matumaini?
Ila mkuu pamoja na elimu yote hii bado unapata moto!!?
Hahahahah hao watu si Malaya ni watu tuPole mkuu,sio wa sinza kweli?
Mi ndugu yangu anaishi moro ila anachukulia mnazi mmoja...manesi anawapa mshiko wa maana maana mi ratiba zangu zilibana kuwa namtumia kwenye basi, so wao now ndo wanafanya hii shughuli
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ongeza umakini kwenye shuguli zako 3 times its many kuwa exposed utakuja kujilaum kuwa. MakiniAaah mkuu! Unataka kusema mtu akianza kuzitumia...huwa anajisikia mwili wake normal compared na kabla hajaanza kuzinywa?!?
Mimi nasema hivi; ARV / PEP unapoanza kuzinywa, Mwili unabadili unakuwa kama unaumwa homa vile...tena ile siku ya kwanza unakunywa utajisikilizia mwenyewe, mimi niliwahi kutumia PEP...Siku ya kwanza nisikia kupepesuka...kitanda nikawa nakiona kinazunguka, na Mwezi mzima mwili haukuwa fit.
Kwa Taarifa tu, nimekunywa PEP kama mara 3 vipindi tofauti...ma zote nimeExperience...naona pia za hivi karibuni wameziboresha (au labda pia zimenikuta naonja onja SBL[emoji23] ,kwamba sizisikii mizuka ya kupepesuka sana lkn mwili unakuwa haupo sawa mwezi mzima)
[emoji38][emoji38] mi kwa nilikopita nilijiapiza siji kupima, nikaja kupata demu fulani hivi nikasema ngoja nitulie nae, akasema kabla ya mahusiano tupime kwanza, siji kusahau ile siku, wallah unakimbia majibu aisee.Hahaha sisi wenye group 0+ tunatesa tuuu.hivi ni kweli hatupati magonjwa kirahisi? Ila kama kuna ukweli hivi ....nilitembeaga na mdada mmoja hivi kavukavu na nikaja kusikia ameungua hahaha nilikonda ndani ya week tu. Nilikuja kupima baadaya wife kushika mimba hiyo siku nusura nikimbie majibu yangu nilitoka jasho mpaka pumbuuuuu zikalowa.toka hapo nimejiapiza sitouza match tenaaa
Huwa unazinywa chief?Alaf ARV za skuizi ni chachu chachu sijui kama mmegundua hilo