huu uzi umenikumbusha mbali sana..kipindi hicho nafanya Diploma pale chuo cha Ushirika kuna manzi alikuwa ananizimia kinoma...sasa shida mm nilikuwa muoga sana na mazingira ya home yalikwa yamekaa kiwaki sana..kuingia home mwisho saa kumi na mbili ..hata muda wa kuruka nae nilikuwa sina....sasa siku ambayo haina jina..nikahamia gheto kwa wana kwa maandalizi ya UE...wana wakajiza maujinga ooohh acha uzembe wewe pita naye tu...ooohh utaonekana senge wewe...na mm kwa ujinga nikajaa...mm na manzi tukapeana appointment ya kuja gheto...jion manzi huyu hapa..wana wasaliti kama kawaida yao wakaniachia gheto....manzi akaingia ndani tukapiga stori za ukweli na uongo kusogeza muda ....muda si ukafika nikaenda kufunga madirisha na mlango kujiandaa kula visivyoliwa .....ila nawashukuru wana walikuwa na box la ndom gheto....nilikuwa naogopa kinyama kumla yule manzi....
kabla hata ya kuanza kufanya upuuzi wetu manzi akaanza kumwaga kilio..bembeleza wapi ..bibie analia tu...mwishowe baada ya kubembelza sana akaamua kunimwagia ukweli...kwamba yeye ni mwasirika na aliupate kwa mwanaume aliyezaa naye na aligundua kuwa anamaambukizi alipoanza kuhudhuria kliniki...aisee mwili ulipigwa na baridi na ganzi ..sikuamini kile alichokuwa ananiambia yule manzi...kwa mwonekano hauwezi kumzania kabisa manzi anamafuata ya kutosha na anamkia wa haja...dah ni Mungu tu aliniepusha..yule manzi mpaka leo ni rafiki yangu na tunazungumza mengi...siyo siri kwa maelezo yake anapitia changamoto nyingi mno..hususani za kisaiklojia...
wana ukimwi upo na unauwa ...tuchukue tahadhari tuachane na ulimbukene wa sijui blood group O kupata ni ngumu...ukinasa ujuwe wazi utapambana nao wewe mwenyewe.....na unatembea nao popote unapoenda na hata ukifa unakufa nao...hata kama kuna kufufuka ujue utafufuka nao....😁😁😁😁😁😁