ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Kuna sehemu yoyote ile nimekulazimisha unikubalie? Unateseka nini na Sisi wenye Damu ya O+? Nitafutie Demu mwenye UKIMWI kisha ' nimbandue ' kavu kavu Bao zangu za ' Hat trick ' kisha baada ya Miezi Mitatu Kanipime kokote ili Uamini kuwa Sisi ' hatuathiriki ' ng'o.
Ni kwamba mnakuwa carriers mnatransmit kwa wengine.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ule uzi wa kula kimasihara ndo matokeo yake haya.....ewe mwanzilishi Mungu anakuona
 
Aliniambia kuwa yeye pale kriniki ana dada yake( ninamfahamu), alimseti kwenye makadi ya dawa ,huwa kuna pesa zikiingia kwa ajili ya kuwagawia wagonjwa,sasa wahusika huwa na wagonjwa wengi hewa,kwa hiyo huwa kuna upigaji,yeye alikuwa mgonjwa feki,
Hivyo nikamwambia ili kuondoa utata tukapime, akakataa, nikamuacha,ila kwa mbinde, maana alikuwa ananiendea mpaka kwa waganga,bi mkubwa akaingilia kati mpambano,nikafanikiwa kuchomoka salama.
watakuuwa mdogo wangu..hawa majimama hawana maana...
 
NIMEUZA mechi kwa Watu 3 tofauti nasubiri nimpime mmoja wao, hao wengine siwezi kuambukizwa ila huyu fala mmoja kama atakuwa nao ninao
Dah mkuu mimi niliuza mechi moja hatri sana seven years passed ila kila nkikumbuka tumbo linauma
Skuwahi kuuza mechi tena tangu skuile,,
Na wala skuwahi pima.
 
Dah mkuu mimi niliuza mechi moja hatri sana seven years passed ila kila nkikumbuka tumbo linauma
Skuwahi kuuza mechi tena tangu skuile,,
Na wala skuwahi pima.
Seven years mpaka leo hujapima?
 
huu uzi umenikumbusha mbali sana..kipindi hicho nafanya Diploma pale chuo cha Ushirika kuna manzi alikuwa ananizimia kinoma...sasa shida mm nilikuwa muoga sana na mazingira ya home yalikwa yamekaa kiwaki sana..kuingia home mwisho saa kumi na mbili ..hata muda wa kuruka nae nilikuwa sina....sasa siku ambayo haina jina..nikahamia gheto kwa wana kwa maandalizi ya UE...wana wakajiza maujinga ooohh acha uzembe wewe pita naye tu...ooohh utaonekana senge wewe...na mm kwa ujinga nikajaa...mm na manzi tukapeana appointment ya kuja gheto...jion manzi huyu hapa..wana wasaliti kama kawaida yao wakaniachia gheto....manzi akaingia ndani tukapiga stori za ukweli na uongo kusogeza muda ....muda si ukafika nikaenda kufunga madirisha na mlango kujiandaa kula visivyoliwa .....ila nawashukuru wana walikuwa na box la ndom gheto....nilikuwa naogopa kinyama kumla yule manzi....
kabla hata ya kuanza kufanya upuuzi wetu manzi akaanza kumwaga kilio..bembeleza wapi ..bibie analia tu...mwishowe baada ya kubembelza sana akaamua kunimwagia ukweli...kwamba yeye ni mwasirika na aliupate kwa mwanaume aliyezaa naye na aligundua kuwa anamaambukizi alipoanza kuhudhuria kliniki...aisee mwili ulipigwa na baridi na ganzi ..sikuamini kile alichokuwa ananiambia yule manzi...kwa mwonekano hauwezi kumzania kabisa manzi anamafuata ya kutosha na anamkia wa haja...dah ni Mungu tu aliniepusha..yule manzi mpaka leo ni rafiki yangu na tunazungumza mengi...siyo siri kwa maelezo yake anapitia changamoto nyingi mno..hususani za kisaiklojia...


wana ukimwi upo na unauwa ...tuchukue tahadhari tuachane na ulimbukene wa sijui blood group O kupata ni ngumu...ukinasa ujuwe wazi utapambana nao wewe mwenyewe.....na unatembea nao popote unapoenda na hata ukifa unakufa nao...hata kama kuna kufufuka ujue utafufuka nao....😁😁😁😁😁😁
 
Majimama yameungua pia hayana pesa (full mizinga)
tatizo vijana wanapenda vitonga....

ujue jimama la leo ..juzi yake yalikuwa ni maslay queen au malaya....

hamna jimama lisilopia ujana.....

sasa tadhimini vikwazo waliyopitia...halafu na wewe unataka kupita humo humo
 
tatizo vijana wanapenda vitonga....

ujue jimama la leo ..juzi yake yalikuwa ni maslay queen au malaya....

hamna jimama lisilopia ujana.....

sasa tadhimini vikwazo waliyopitia...halafu na wewe unataka kupita humo humo
Ndo hao hao "Strong women"
 
Back
Top Bottom