Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
mzee pole, ushaukwaa?Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu!
kuna shemaji yangu mmoja aliacha gafla, ni mwanamke mwenye umbile haswa, ndani ya muda mfupi kila mtu alijua kuwa ameathirika, alitandikwa na homa hadi sura ya mauti ilianza kuonekana usoni kwake. huo ugonjwa hatari sana aisee.Sio kesi, achana nazo kimasihara kama unaona zinakupa maluwe luwe.
Ila PATAMUUgonjwa umekaa pabaya sana.
kama kawaidaWeekend Kama hv watu wanapasuana kavu-kavu sana
na kumwaga ndani, nyama kwa nyamaWeekend Kama hv watu wanapasuana kavu-kavu sana
Mie nashindwa kuelewa binadamu. Wewe unataka uzinzi alafu inakuwaje unaogopa ngoma? Wee kula raha bwana ya mbususu vizuri bila nylonWeekend Kama hv watu wanapasuana kavu-kavu sana
Tumia ndom tu. Utelezi utakuingiza kaburiniPole sana ndugu , sitaki kukumbuka na I hate HIV/AIDs, this JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala disease made me to be alone today , no mother, no father and no brethren. Tumia dawa nigga.
Umechanganya madesa..haipo hivyo ni kweli wapo baadhi ya watu hawapati Ngoma kwa kua seli zao nyeupe hazina vipokezi vinavyosapoti HIV kuingia ndani ili afanye yake lakini sio kuzungumzia Magroup ya damu..GROUP LA DAMU HALINA CHOCHOTE KWENYE HIV KWANI YEYE HANA MPANAGO NA RBC(SELI NYEKUNDU ZA DAMU).Ni kweli asilimia kubwa ya watu wenye O+ hawapati HIV kirahisi, nina mfano hai wa mtu wangu wa karibu kabisa, miaka hiyo yule bwana na mahawara zake kibao walishaiacha dunia kwa ukimwi ila yeye yupo hadi leo, kila akipima ni negative