Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
mzee pole, ushaukwaa?Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu!