ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Mshkaji wangu wa karibu sana alikuwa anamfukuzia Mwanafunzi tangu akiwa fm3 Mwanfunzi anamnyima

Juzi baada ya kumaliza fm4 akamsumbua sanaa mtoto akakubali jamaa akambikiri yule mwanafunzi na mwanafunzi akamwachia jamaa UKIMWI

Kumbe huyo Mwanafunzi alizaliwa nao

Sasa jamaa hajiamini tena, ana mawazo sana na hawezi kushinda mahali mwnyw bila company ikifika mida ya jioni-usiku ukimuaga unaenda kulala jamaa hataki aachwe mwenyewe
 
Aisee pole sana sana
Kazi yangu ya kwanza baada ya kutoka chuo ilikuwa kupima na kutoa ARV.
Dah yani inakuja chuma namba D kabisa na imeungua.
Weee[emoji134][emoji134]

Maambukizi makubwa yanatokana na nini mkuu?
 
Mshkaji wangu wa karibu sana alikuwa anamfukuzia Mwanafunzi tangu akiwa fm3 Mwanfunzi anamnyima

Juzi baada ya kumaliza fm4 akamsumbua sanaa mtoto akakubali jamaa akambikiri yule mwanafunzi na mwanafunzi akamwachia jamaa UKIMWI

Kumbe huyo Mwanafunzi alizaliwa nao

Sasa jamaa hajiamini tena, ana mawazo sana na hawezi kushinda mahali mwnyw bila company ikifika mida ya jioni-usiku ukimuaga unaenda kulala jamaa hataki aachwe mwenyewe
Asee hii m mbona ni balaa[emoji848][emoji848][emoji134]
 
Mshkaji wangu wa karibu sana alikuwa anamfukuzia Mwanafunzi tangu akiwa fm3 Mwanfunzi anamnyima

Juzi baada ya kumaliza fm4 akamsumbua sanaa mtoto akakubali jamaa akambikiri yule mwanafunzi na mwanafunzi akamwachia jamaa UKIMWI

Kumbe huyo Mwanafunzi alizaliwa nao

Sasa jamaa hajiamini tena, ana mawazo sana na hawezi kushinda mahali mwnyw bila company ikifika mida ya jioni-usiku ukimuaga unaenda kulala jamaa hataki aachwe mwenyewe
Alipima?
 
Ndio, alikutana na huyo Mtoto siku nyingine, huyo mtoto akamwambia Mimi nlikuambia tusifanye kwakuwa ''mimi sio mzima''....Jamaa akastuka thn baadae akaenda kupima na akakuta ana HIV positive.
 
Kupata ngoma ni ngumu sana naendaga kavu
Sasa km upo Unguja 1.3% au Pemba 0.3%Unaenda kavu ,...utapata lini ngoma wakat hizo sehem maambukizi yapo chiiiiin mnoo??

Katombee wanawake wa Njombe 6 tu ... Au Kahama 10 ,au geita 10 au Iringa 10 kavukavu

Alafu baada ya miezi mitatu Pima.
 
Visiwani wanapasuana Sana mitaro ndo maana kukuta bikra za mbele 100% japo Divorce rate Ni 95%
 
Tafuta hela, ukimwi ukiwa na pesa unadunda miaka mingi tu ila ukiwa maskini huchkui round.
Watu wamedunda nao wakajenga madaraja lukuki mpaka wakapata maheshma kibao, wengine wamedunda mpaka wakaweza kufungua vituo vya runinga kibao, redio kibao, magazeti kdekede, madaso ya kumwaga wakaoa mamiss n.k kiufupi ukiwa na pesa ukimwi ni ishu ndogo sana we tafuta hela sabuni ya roho!
 
Back
Top Bottom