witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ukiwa na Ngoma cancer unagusa tuUkiwa na ukimwi inaweza pelekea cancer pia maana kinga hakuna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na Ngoma cancer unagusa tuUkiwa na ukimwi inaweza pelekea cancer pia maana kinga hakuna.
Alafu inapita naww kama ifuatavyoUkiwa na Ngoma cancer unagusa tu
Pole Sana jombiWakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu!
Aiseeeeeaaah! Ev! yaaani kule ni kubaya? ona sasa! tumetoka huko huk0! na tuna rudi tena jamani!Mwee! ule utamu bana haunaga mpinzani majemedari wenyewe wanakomaga! sembuse nyarusare na Evelyn? ! daaa mnatuwezea kweli!
hasa kifua kina tumalizaga sana! viko kama vituta viwili hivi mbinuko! vyenye kimviringo cheusi na vipele! halafu kinabadilikaga ivi! km kinakigumu gumu uwa na mikunjo! halafu wengine bana wanatupatiaga sana! unapewa kimya kimya kula hiki!
halafu sasa unashuka! jamani!.... jamani! jamani! utakumbuka ndom! kweli? sijui kuna nini palee??! ebu chuguza..... ndo maana tuko wengi! halafu watamu woote!
Ni hatari sanaWakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu!
Nimegundua kitu kimoja leo nikiingia JF tu!! yaani usingizi unakata! naweza kaa siku nzima humu humu! ! jamani kuna nini humu ndani! wakuu tupeni siriAiseeeee
Ni mbaya kutomaliza dose ya dawa yeyote!Mm hata za mseto sijawahi maliza kwakweli
mwendo wa kumwaga ndani tuKi-winter hik noma
Uko kazini hapo nini mkuuDah huu uzi nimeuona muda mbaya sana kubababake nalog off