ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.

**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu
!
Pole Sana jombi
 
aaah! Ev! yaaani kule ni kubaya? ona sasa! tumetoka huko huk0! na tuna rudi tena jamani!Mwee! ule utamu bana haunaga mpinzani majemedari wenyewe wanakomaga! sembuse nyarusare na Evelyn? ! daaa mnatuwezea kweli!

hasa kifua kina tumalizaga sana! viko kama vituta viwili hivi mbinuko! vyenye kimviringo cheusi na vipele! halafu kinabadilikaga ivi! km kinakigumu gumu uwa na mikunjo! halafu wengine bana wanatupatiaga sana! unapewa kimya kimya kula hiki!

halafu sasa unashuka! jamani!.... jamani! jamani! utakumbuka ndom! kweli? sijui kuna nini palee??! ebu chuguza..... ndo maana tuko wengi! halafu watamu woote!
Aiseeeee
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.

**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu
!
Ni hatari sana
 
End of year parties zinakuja na virusi (HIV+Omicron). Moshi Lazima tuje kuzika January-April 2022
 
Dah huu uzi nimeuona muda mbaya sana kubababake nalog off
 
Back
Top Bottom