much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Bila kuchakata pisi hiyo furaha utaisikia kwa jirani.Code ni simple tu Love yourself first afu mengine yafuate.
1. Kula vizuri
2. Vaa vizuri
3. Fanya mazoezi
4. Tafuta pesa
Kutafuta pesa hakukupi furaha zaidi ya huzuni maana kumejaa na misukosuku na bahati mbaya