As Man unataka kuwa na furaha 2025 na kipindi chote cha maisha yako kilichobaki basi code ni hizi

Bila kuchakata pisi hiyo furaha utaisikia kwa jirani.
Kutafuta pesa hakukupi furaha zaidi ya huzuni maana kumejaa na misukosuku na bahati mbaya
Wazinzi ndo watu wanaongoza kuwa depressed duniani kote .

Sex haitoi wala kumpa furaha . unauwezo wa kuachilia dopamine Kwa njia nyingi Sana without having sex
 
Bila kuchakata pisi hiyo furaha utaisikia kwa jirani.
Kutafuta pesa hakukupi furaha zaidi ya huzuni maana kumejaa na misukosuku na bahati mbaya
Ni kipi kitamtenganisha mwanaume na pisi hiyo ni sehemu ya basic needs but remember to practice safe sex maana watoto wanatembeza umeme makusidically Mimi mwenyewe ni victim kwenye hilo
 
Hapo umezungumzia wanaume wasiokuwa na majukumu mazito mkuu km mm ,ilaa ss wale wenye majukumu mazito hapo hakuna hata kimoja atawezaa fanya na kama kipato ndio Cha kuunga unga aiseee kuvaa vzr,kula vzr,cjui mazoezi ataishia kuona tu watu wakiwa wanafanya🥂
 
Kufurahia maisha sio mpaka uwe na kipato kikubwa as long una pesa ya kumeet basic needs zako na una afya inabidi ufurahie maisha mungu akupe Nini Macmuga
 
Mkuu ukipata muda utoe elimu zaidi kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…