As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

Sitaki nikupeleke Dodoma au mwanza ambako kuna miradi mikubwa hata Dar haikanyagi, we saizi yako hii hapa[emoji116][emoji116]
 
Simba ndio inababaikia wachezaji wakali
 
Matunda ya katiba mpya na bora kushinda nyingi Africa. Mtaelewa tu endeleeni kusubiri.
Pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pimaaa tushaelewa sasa hivi inamaanisha nini
 
County moja inajenga uwanja wa mpila,mnajisifu,
Wakati serikali yenu inakopa nje,Euro bond,zaidi ya billioni 500,kulipa mishahara sasa chakujivunia ni kipi hapo?
 
Magufuli aliomba msaada kutoka kwa Jacob Zuma , kabla Zuma hajatumbuliwa, sijui alipewa ule msaada.
 
Hivi Yanga na Simba bongo ndio giant club ?
 
Economy
Health
Mombasa port doubles all Tanzanian ports combined
JKIA handles more passengers than all Tanzanian airports combined.
Education
Roads
Trade
Agriculture
Our cities are better than all your cities
Among many more.
Dah...Kenya huwezi linganisha na Bongo hata kidogo...iko mbele sana...Kenya linganisha na nchi za Ulaya... Kama bongo hatuna mgonjwa hata mmoja wa corona wakati Kenya ina zaidi ya wagonjwa 10K+ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"Dodoma stadium in Tanzania to become largest stadium in Africa" Dodoma stadium in Tanzania to become largest stadium in Africa

"Top 10 biggest stadiums in Africa 2020 ▷ Tuko.co.ke" Here are the biggest stadiums in Africa: Countries with the best facilities
 
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali na katibu mkuu wizara ya habari, vijana na michezo ndugu Hassan Abbas anasema serikali imechukua jukumu la kujenga uwanja wa Dodoma kwa pesa zake baada ya Morocco kutoeleweka.
Wakenya hamuwezi kulijua hili maana mko busy mnabaka wagonjwa wa corona
 
Wachezaji wakali?.....

Kahata alikuwa big fish kwenye small pond( Gormahia).

Ila kaja huku hakuna anayemtukuza, lazima apambanie namba.

Top scorers wa ligi zote EA wamekuja bongo na kuchemsha....
Kwa miaka tofauti tofauti.
Huyo simba kaenda kuzeekea hko
 
Tazama nchi ya watu wenye akili nyingi watu tushamaliza tatizo la Corona hatukumbuki hata hizo barakoa zinavaliwaje, mpaka brother wenyu kazoe maisha ya bongo anakula raha tu
Waliokufa mpka sasa hko mitaani mumewapima corona kwan. Mbna mnaweweseka sana na wakati kwenu hampimi maiti.

Ama ulihakikishiwa kama corona inaua kila mtu.
 
Mkuu inaonekana ww sio mtu wa mpira.
Wachezaji huwa kwenye ubora wao katika miaka 25_30. Kaja simba akiwa na miaka 27 so ni kwenye peak yake.
Hahahaa!!labda Bongo.

We unafikiria unaweza mlinganisha ronaldo na messi enzi zao za under na sasa. Kweli wewe hujui kitu
 
Hahahaa!!labda Bongo

We unafikiria unaweza mlinganisha ronaldo na messi enzi zao za under na sasa. Kweli wewe hujui kitu
Nadhani mkuu tusiligeuze likawa jukwaa la sport. Ronaldo na Messi peak yao ni btn 25_30 asa sijui unabisha nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…