Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Kwanza wanajenga kiwanja au mfano wa kiwanjaVp kuhusu mrad wa reli ya kisasa, nahidi ndo muhimu kwa maendeleo ya wananchi kuliko uwanja je mnajenga wenyewe au ni mkopo? Au unajaribu kupoteza machungu hayo kwa kuposti habari kama hii?
Ebu tuonenyeshe hivo viwanja mnaongelea kama sio renders.Au kama cha Majaliwa stadium pale Namungo. Jamaa ndio anaona bonge la uwanja kumbe vitu vya kawaida tu huku timu ziko na pesa zinajenga viwanja zenyewe.
Hivi kwanza huko kenya kuna ligi ya maaana kweli? Viwanja vya nini wanajenga na sisikii hata ligi yao ikiwa competitive ukanda huu?
Ligi yao ndio ligo mbovu zaidi ktk EA halafu wanawezaje kupata kiwanja kama hicho?Fikeni hii level kwanza ndo uje uandike utumbo wako.View attachment 1510134
Oneni huyu jameni....what our government built many yrs ago has never been seen by naked eyes in kenya, national stadium. I've visited kasarani, it is too old budah yet it was innovated to where it is a few years ago. Je, hii stadia mpya ambayo ndio most recent stadia overseen by gava ya tz, si ninaona ikuwe tu ka museum wakenya mukuje kutalii😅.Najua umekasirika sana venye umeona kuwa Mombasa county is doing what your government can`t do.
Mbona msiongee tu ukweli, so you want to compare this with this? 😂 😂Au kama cha Majaliwa stadium pale Namungo. Jamaa ndio anaona bonge la uwanja kumbe vitu vya kawaida tu huku timu ziko na pesa zinajenga viwanja zenyewe.
Hivi kwanza huko kenya kuna ligi ya maaana kweli? Viwanja vya nini wanajenga na sisikii hata ligi yao ikiwa competitive ukanda huu?
Nyie ya kwenu mlijenga kwa pesa zenu? C mmemkopa mchina na yy akawakopa nchi now mshaolewa mnabaki kulala na khanga tu[emoji3][emoji3]Reli yenu ni mkopo mwanzo mwisho so usitupigie kelele na mikopo tafadhali.
Kwanini mnajifananisha na Tz!Unadhani Kenya ni kama Tanzania enye wanapewa misaada kwa kila kitu?
Kasarani iliyojengwa mwaka 1960 ndo ufananishe na kiwanja kilichojengwa 2000s ww umelogwa co bure.This one even can`t come close to Kasarani.
View attachment 1510142
Usilie kisa nimeongea tu ukweli.Nikasirike kisa viwanja vya kuchezea rede ambavyo havijafika hata level za viwanja vya mpira Tanzania! hayo yatakua matumizi mabaya ya makasiriko,
Halafu bila aibu unafungua uzi kupotosha eti uwanja wa mpira dodoma unajengwa na Morocco [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hiki c kama kile cha Zamani cha pale Kwa mkapa kidogo au Kwasababu picha ya usiku ndio inamdanganya.This one even can`t come close to Kasarani.
View attachment 1510142
Anafananisha viwanja vyao vya kuchezea rede na viwanja vya kuchezea mpira Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]Mwendawazimu huyu kiwanja kinachukua watu zaidi ya elfu 60, Kenya hautoupata huo uwanja na kikipatikana naweka nyeti zangu kwenye profile [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila hiyo hiyo moja hamna Kenya nzimaTanzania iko na one stadium, hizo zingine ni playing grounds za watoto.
Ukweli upi?Usilie kisa nimeongea tu ukweli.
Dodoma Stadium project in Tanzania edges closer to breaking ground
Kweli we hivi ulishawahi sikia siku moja Tanzania inapewa mchele wa kichina kama Kenya.Unadhani Kenya ni kama Tanzania enye wanapewa misaada kwa kila kitu?
Its a total joke ma bro. Tanzania National Stadium is very far ahead of you dude. Usifananishe Mkapa Stadium na mambo yenu ya kijinga.This one even can`t come close to Kasarani.
View attachment 1510142