Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Sana angetoboa hapo siyo mwenzetu ndio maana utajiri una siri nzito sana hao wapo 20 kila kichwa minimum usd 2000 maana yake alikuwa anapiga 100m kama amesimama
Kichwa chenye uwezo wa kutoa USD 2000 hakisafirishwi hivyo.
Akili ya kawaida na uzoefu wa kutafsiri haukubaliani.
 
Hata mimi huwa nikisafiri na ninajua nitavunnja sheria za usalama barabarani huwa naweka bendera ya CCM mbele na kofia juu ya dashboard na wimbo wa Capt. John Komba. Napitaga tu tena trafiki huniombaga hela ya chai nawarushiaga 3000/= wanagawana.
 
Hahaha
 
Watu wenye uwezo wa kutoa USD 2000 husafirishwa kwa usafiri wa uhakika, siyo wa kujificha maporini.
 
Wamerushana wakachomana itakuwa. Sio rahisi vx lenye bendera ya ccm kusimamishwa na askari barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…