Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.

Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo limekamatwa katika kizuizi barabara ya Arusha Babati eneo la Minjingu likiwa na Wahamiaji ishirini Raia wa Ethiopia kwenye gari namba T.774 BDL Land Cruiser likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM.

“Gari hili V8 lilikuwa na Bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenye upekuzi tulipoona sura tofauti na Watanzania ilibidi tuweke gari pembeni na baadae kuwashusha tukakuta wapo Wahamiaji 20 kwenye gari V8 na wote uelekeo wao ni kusini mwa Afrika wakitokea usawa wa Arusha, Dereva wa gari hili ni Mkazi wa Dodoma tunamshikilia mpaka sasa na kesho tunatarajia kuwakabidhi Uhamiaji”

Chanzo: Ayo TV
Ukiwa sisiemu.unafanya lolote na hufanywi chochote. Tukisema.Hilo.lichama.ni genge la.uharamia tueleweni.
 
Mnasemaga ukiwa CCM kila kitu ni bwerere sasa imekuwaje huko na bendera juu?.
Huyo mwenye gari wameshindwana kiwango Cha rushwa. Yeye alitaka kuwapitisha kavu kavu kwa hofu ya bendera ya chama la majizi.
 
Biashara ya Human Trafficking ina cost Mabilion Mzee.....sema hujui.
Nilifanya hizo dili nikiwa naendesha Ambulance ya Halmashauri moja huko Mpakani mwa Tamzania na........ Hilo dili linalipa sana. Mi nilikuwa nawasha king'ora tu jamaa wananiachia barabara napita speed ya ajabu. Nawafikisha porini, nageuka watajua wao wanavukaje.
 
Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.

Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo limekamatwa katika kizuizi barabara ya Arusha Babati eneo la Minjingu likiwa na Wahamiaji ishirini Raia wa Ethiopia kwenye gari namba T.774 BDL Land Cruiser likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM.

“Gari hili V8 lilikuwa na Bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenye upekuzi tulipoona sura tofauti na Watanzania ilibidi tuweke gari pembeni na baadae kuwashusha tukakuta wapo Wahamiaji 20 kwenye gari V8 na wote uelekeo wao ni kusini mwa Afrika wakitokea usawa wa Arusha, Dereva wa gari hili ni Mkazi wa Dodoma tunamshikilia mpaka sasa na kesho tunatarajia kuwakabidhi Uhamiaji”

Chanzo: Ayo TV
Kwa vile tumeamua kila jambo sifa ziende kwa Samia basi hata hili la V8 la CCM kubeba wahabeshi 20 sifa na utukufu kwa Samia.
 
NINGEPENDA KUJUA NANI MMILIKI WA HIYO GARI?

ova
Swali jengine tafadhali
IMG-20240325-WA0040.jpg
 
Kamishina msaidizi uhamiaji anasema bendera ya ccm V8 na dereva haviusiani na ccm mm sijamuelewa kabisa kwani hile ni bendera ya TLP
 
Nimemsikia muuza unga mmoja southafrica anasema wanapowasafirisha hawa wahamiaji huwa wanawabebesha na madawa pia ndio moja ya makubaliano
 
1717685093483.png

1717685315283.png

Umasikini mbaya wa kipato(na hata fikra) ukiambatanisha na tamaa ya maisha ya juu, vinaelekea kuwati ibu wabunge wetu wengi.

Ni mara karibia ya nne sasa, magari ya wabunge asio na kipato cha kuwahimili maisha ya juu, magari hayo yamekamatwa na polisi wakisafirisha wahamiaji.

Hili ni janga la umaikini ka hawa wachaguiwa wetu.

Mtu katoka kijijini juzi, leo mbunge kutokana na mdomo wake kufanya kazi overtime, mwis anatamani kuishi kama mawaziri na ananunua Lndcruiser V8.

Landcruiser V8 ina nyonya fweza ndefu si kuinunua tu, bali mtunzo.

Mbunge wetu huyu hawezi.

Mwisho analikodisha au naingia gemu la kusafirisha wahamiaji harmu.

WABUNGE MNATUAIBISHA PTUUU!

Habari ya juzi ni mbunge wa mkoa fulani huko kaskazini, V8 limekamatwa likiwa limesheheni abiria wahamiaji.
 
Back
Top Bottom