Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Acha kumtisha wewe!!,Hapo kwenye mstari, tunaomba ushahidi wako kuhusu hii accusation kubwa dhidi ya Zoka maana usije ukadhani kuandika humu ndio umejificha. Huwezi uka accuse mtu kwa criminality hivihivi tu, TUNASUBIRI MAJIBU YAKO HAPA!
Acha kumtisha wewe!!,
We dare to talk openly.
Hapo kwenye mstari, tunaomba ushahidi wako kuhusu hii accusation kubwa dhidi ya Zoka maana usije ukadhani kuandika humu ndio umejificha. Huwezi uka accuse mtu kwa criminality hivihivi tu, TUNASUBIRI MAJIBU YAKO HAPA!
If you believe what he said in his post then just come out in the open and restate the accusations against Mr.Zoka that he is complicit in such inhumane acts perpetrated against innocent Tanzanians. Just go public on that so that we know "you dare to talk openly" as you say! Again, we are waiting!
When it comes to maadili haina cha kusoma. Wenye degree wanaongoza kwa kufanya mambo ya hovyo. Hata hivyo Kibanda na Assa wote ni wasomi wazuri sana. Acheni kuchafuana kwa mambo ya kupita.
Wadau hapa nadhani tunachanganya mambo; Mwambene kudai kwamba Kibanda hana sifa za kuwa Mhariri haimaanishi kwamba Kibanda sio msomi; la hasha! Kibanda anaweza kuwa na Doctorate Degree ya Geography, MSc. In History; MBA; lakini pamoja na makororo yote hayo, bado hana sifa za kuwa Mhariri wa Chombo cha Habari hata kama ni msomi mzuri! Si tu kuwa Mhariri bali hata ile tu kuwa Mwandishi wa Habari bado unalazimika kuwa na taaluma ya Uandishi wa Habari ( bila hii ndio sifa inayozungumzwa)! Huwezi kuwa na ufahamu wa maadili ya uandishi kama hujasomea uandishi....anyway, inawezekana ndio ukayafahamu hayo kwa kujisomea tu hapa na pale wewe mwenyewe; lakini linapokuja suala la kisheria/kitaaluma bado wewe utaonekana hufahamu maadili ya uandishi kwa sababu hauna taaluma ya uandishi!Hoja hapa ni weledi na maadili ya watu ktk kuzitumikia nafasi zao. Tukisema elimu tunakosea sana na mfano mzuri ni mikataba tunayoingia kama taifa tukiongozwa na wasomi (Tena wengine wa HAVARD) inavyotutafuna.
We nawe, kumbe wote unawajua 'afu unajifanya kwamba Mwambene humjui!!Binafsi namfahamu Kibanda kwa undani wake na elimu yake, ila huyo Mwambene simjui naomba wenye uelewa kumuhusu watujuze. Nasisitiza Kibanda anajulikana kwa hali ma mali pia ni msomi wa kueleweka na hapendi ku-weed between the lines ili apate mkate. kwa haraka Mwambene ni maji ya shingo. Pole sana.
Kama hainuki damu, ni kwanini hadi leo hawajawakamata waliowatesa Absolom Kibanda na Dr Ulimboka?Usipende kumchafua membe anausikaje? Hivi kuandika selikali inanuka damu bila ushahidi ni sawa?
wanaotoa watu kucha wanajitokeza taratiibu.sasa wanaweweseka utasikia ndo maana tulimtoa jicho sababu sio mhariri.ASSAH Mwambene, ka CV kamejaa kiasi kwani kama sijakosea alimaliza TSJ baada ya kuhamia Michokeni ooops mikocheni 1997, akagonga diplomasia, akagonga masters akafanya kazi vyombo vya habari kama TSN, Maelezo Akapotea kwa muda Fulani then akaibukia wizara ya Mambo ya nje kama msemaji wake then akaibukia Maelezo kama Mkurugenzi. Inasomeka na inakubalika kukalia kiti alichonacho sasa, kwani nani zaidi anafaa pale?
Wewe Metsada acha kutisha watu hapa JF.Hapo kwenye mstari, tunaomba ushahidi wako kuhusu hii accusation kubwa dhidi ya Zoka maana usije ukadhani kuandika humu ndio umejificha. Huwezi uka accuse mtu kwa criminality hivihivi tu, TUNASUBIRI MAJIBU YAKO HAPA!
If you believe what he said in his post then just come out in the open and restate the accusations against Mr.Zoka that he is complicit in such inhumane acts perpetrated against innocent Tanzanians. Just go public on that so that we know "you dare to talk openly" as you say! Again, we are waiting!
Usipende kumchafua membe anausikaje? Hivi kuandika selikali inanuka damu bila ushahidi ni sawa?
Ni kweli Kibanda amesomea mambo ya agriculture hakupitia chuo cha uandishi wa habarikwa vigezo vipi? hebu tuwekee CV zake vinginevyo we na Mwambene ndo vihiyo
nyanya bichi, ane sadia bana, hii NHC iko tofauti gani na sajili jumba? dugu toka kule mbeya naita Asajile mwaijumba! iko tofauti au kitu moja ipo? fanya saada dugu yangu!Kibanda ni mhariri wa NHC
Charles Mullinda ni Mhariri wa Mtanzania
NHC inajumuisha Rai,Mtanzania,Dimba nk.
Yuko wapi leo Mwambene?Jana katika mahojiano yake na Sauti ya Amrican VOA, Mkukurugenzi wa Idara ya habari amesema kwamba anashangaa kuona baadhi ya watu wanalalamika kuhusu kufungiwa kwa gazeti la mtz.
Amesema kwamba hata muhariri wa Mtanzania hana vigezo vya kuwa muhariri wa gazeti.
MY TAKE:
Kumbe Muhariri wa mtz hana sifa hata ya kuwa muhariri?
Sasa inakuwaje kampuni kama newhabari inaajiri vihiyo au nia ya kutaka kuifilisi hii kampuni
Lbda analima yeboyeboHivi huyu mwambene yuko wapi sa hivi