Asah Mwambene: Absalom Kibanda hana vigezo vya kuwa mhariri

Asah Mwambene: Absalom Kibanda hana vigezo vya kuwa mhariri

Hapo kwenye mstari, tunaomba ushahidi wako kuhusu hii accusation kubwa dhidi ya Zoka maana usije ukadhani kuandika humu ndio umejificha. Huwezi uka accuse mtu kwa criminality hivihivi tu, TUNASUBIRI MAJIBU YAKO HAPA!
Acha kumtisha wewe!!,
We dare to talk openly.
 
Acha kumtisha wewe!!,
We dare to talk openly.

If you believe what he said in his post then just come out in the open and restate the accusations against Mr.Zoka that he is complicit in such inhumane acts perpetrated against innocent Tanzanians. Just go public on that so that we know "you dare to talk openly" as you say! Again, we are waiting!
 
Hapo kwenye mstari, tunaomba ushahidi wako kuhusu hii accusation kubwa dhidi ya Zoka maana usije ukadhani kuandika humu ndio umejificha. Huwezi uka accuse mtu kwa criminality hivihivi tu, TUNASUBIRI MAJIBU YAKO HAPA!

Sasa nani anahusika? Wanalipwa mishahara ya nini kama wanashindwa kuwapata wahusika wa uhalifu? Kwa nini unatisha watu? Zoka and his company are being paid salaries for what jobs? Halafu mnatujia hapa lundo la makaratsi yenu mnayoita CV! C'mon we need efficiency not bla bla za nani hafai kuwa mhariri wa gazeti! Na kwa taarifa wafanyakazi wengi vihiyo ndiyo wamejaa serikalini! Kuanzia ikulu, kuna watu wanakula mishahara ya bure! Kama kweli hao akina Mwambene wana elimu nzuri kwa nini wasishauriane na bosi wao rais nchi ikawa na mandeleo ya maana!!?
 
If you believe what he said in his post then just come out in the open and restate the accusations against Mr.Zoka that he is complicit in such inhumane acts perpetrated against innocent Tanzanians. Just go public on that so that we know "you dare to talk openly" as you say! Again, we are waiting!

Are you mr Zoka? You can also come out and defend yourself!! Also we are waiting!!
 
When it comes to maadili haina cha kusoma. Wenye degree wanaongoza kwa kufanya mambo ya hovyo. Hata hivyo Kibanda na Assa wote ni wasomi wazuri sana. Acheni kuchafuana kwa mambo ya kupita.

Hoja hapa ni weledi na maadili ya watu ktk kuzitumikia nafasi zao. Tukisema elimu tunakosea sana na mfano mzuri ni mikataba tunayoingia kama taifa tukiongozwa na wasomi (Tena wengine wa HAVARD) inavyotutafuna.
Wadau hapa nadhani tunachanganya mambo; Mwambene kudai kwamba Kibanda hana sifa za kuwa Mhariri haimaanishi kwamba Kibanda sio msomi; la hasha! Kibanda anaweza kuwa na Doctorate Degree ya Geography, MSc. In History; MBA; lakini pamoja na makororo yote hayo, bado hana sifa za kuwa Mhariri wa Chombo cha Habari hata kama ni msomi mzuri! Si tu kuwa Mhariri bali hata ile tu kuwa Mwandishi wa Habari bado unalazimika kuwa na taaluma ya Uandishi wa Habari ( bila hii ndio sifa inayozungumzwa)! Huwezi kuwa na ufahamu wa maadili ya uandishi kama hujasomea uandishi....anyway, inawezekana ndio ukayafahamu hayo kwa kujisomea tu hapa na pale wewe mwenyewe; lakini linapokuja suala la kisheria/kitaaluma bado wewe utaonekana hufahamu maadili ya uandishi kwa sababu hauna taaluma ya uandishi!
 
Binafsi namfahamu Kibanda kwa undani wake na elimu yake, ila huyo Mwambene simjui naomba wenye uelewa kumuhusu watujuze. Nasisitiza Kibanda anajulikana kwa hali ma mali pia ni msomi wa kueleweka na hapendi ku-weed between the lines ili apate mkate. kwa haraka Mwambene ni maji ya shingo. Pole sana.
We nawe, kumbe wote unawajua 'afu unajifanya kwamba Mwambene humjui!!
 
Usipende kumchafua membe anausikaje? Hivi kuandika selikali inanuka damu bila ushahidi ni sawa?
Kama hainuki damu, ni kwanini hadi leo hawajawakamata waliowatesa Absolom Kibanda na Dr Ulimboka?

Ni kwa nini hata ile kesi ya yule polisi "Mask" anayedaiwa kumlipua Mwangosi hadi kusababisha kifo chake?

Je huo siyo ushahidi wa wazi kuwa mauaji ya Mwangosi,yaliamriwa na kamanda Kamuhanda,ambaye baada ya mauaji hayo,mkuu wake wa kazi JK,alimpandisha cheo kwa utumishi uliotukuka?!
 
ASSAH Mwambene, ka CV kamejaa kiasi kwani kama sijakosea alimaliza TSJ baada ya kuhamia Michokeni ooops mikocheni 1997, akagonga diplomasia, akagonga masters akafanya kazi vyombo vya habari kama TSN, Maelezo Akapotea kwa muda Fulani then akaibukia wizara ya Mambo ya nje kama msemaji wake then akaibukia Maelezo kama Mkurugenzi. Inasomeka na inakubalika kukalia kiti alichonacho sasa, kwani nani zaidi anafaa pale?
wanaotoa watu kucha wanajitokeza taratiibu.sasa wanaweweseka utasikia ndo maana tulimtoa jicho sababu sio mhariri.
 
Kwani kisheria Mhariri hapa Tanzania anatakiwa kuwa na Sifa zipi za msingi?
 
Hapo kwenye mstari, tunaomba ushahidi wako kuhusu hii accusation kubwa dhidi ya Zoka maana usije ukadhani kuandika humu ndio umejificha. Huwezi uka accuse mtu kwa criminality hivihivi tu, TUNASUBIRI MAJIBU YAKO HAPA!
Wewe Metsada acha kutisha watu hapa JF.
Upo ushahidi wa wazi kabisa(People, Electronics & Data) na wa kimazingira unaodai kuwa 'Zoka' ndiye aliyeratibu mpango mzima wa kutekwa na kuteswa Dr.Ulimboka na Absalam Kubanda.

Kwa mfano suala la Dr.Ulimboka, mpango mzima unadaiwa ulipangwa na 'Ikulu ya magogoni'(Kumbuka reaction ya Ikulu kuwakingia kifua watu waliohusishwa) chini ya Uratibu wa TISS huku 'Zoka' akiwa ni ''Top Engineering'' na mpango ulienda kutekelezwa na ''Washamba'' wa TISS wakishirikiana vyema na ofisi ya 'Kova' chini ya usimamizi wa ofisi ya waziri mkuu.
Issue yenyewe masaa machache kabla ya kutekelezwa iliwahi kuvuja(hata humu JF kuna mdau iliipost kuwa 'Fatal project' dhidi ya Dr.Ulimboka inakwenda kutekelezwa soon ila watu wakapuuzia!!)

Baadhi ya wahusika walitajwa na Dr.Ulimboka tena kwa majina, wajihi wao na hata aina ya mavazi waliovaa siku ya tukio, wenye hekima na Akili tulishawajua ni akina nani hao watu!!

Panga pangua, suala la kuteswa na kutekwa kwa watu wanaoikosoa(threats) serikali linaonekana ni suala la 'State Project' chini ya TISS(Zoka!) japokuwa hakuna Policy rasmi ya hilo bali ni kwa maslahi ya watawala waliopo sasa.

Na amini usiamini haya matukio inadaiwa yataendelea kutokea tena sana unless hatua dhidi ya wahusika zichukuliwe ikiwemo kukifuta kabisa, tena haraka sana kitengo cha TISS.
 
Last edited by a moderator:
It doesnt matter whether I believe it or not, what am saying is that you dont have to intimidate any one here, we are no cowards, by the way, kama unataka ushahidi kasome matoleo mawili ya mwisho ya gazeti la mwanaHALISI kabla halijafungiwa.
If you believe what he said in his post then just come out in the open and restate the accusations against Mr.Zoka that he is complicit in such inhumane acts perpetrated against innocent Tanzanians. Just go public on that so that we know "you dare to talk openly" as you say! Again, we are waiting!
 
Tatizo la nchi hii kila mtu aliye na kinafasi kidogo anakuwa na sauti ya kuisemea serikali.
 
Kibanda ni mhariri wa NHC

Charles Mullinda ni Mhariri wa Mtanzania

NHC inajumuisha Rai,Mtanzania,Dimba nk.
nyanya bichi, ane sadia bana, hii NHC iko tofauti gani na sajili jumba? dugu toka kule mbeya naita Asajile mwaijumba! iko tofauti au kitu moja ipo? fanya saada dugu yangu!
 
Jana katika mahojiano yake na Sauti ya Amrican VOA, Mkukurugenzi wa Idara ya habari amesema kwamba anashangaa kuona baadhi ya watu wanalalamika kuhusu kufungiwa kwa gazeti la mtz.
Amesema kwamba hata muhariri wa Mtanzania hana vigezo vya kuwa muhariri wa gazeti.


MY TAKE:
Kumbe Muhariri wa mtz hana sifa hata ya kuwa muhariri?
Sasa inakuwaje kampuni kama newhabari inaajiri vihiyo au nia ya kutaka kuifilisi hii kampuni
Yuko wapi leo Mwambene?
 
Back
Top Bottom