Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,886
Reaction score
1,038
Habari wana jamvi!

Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.

Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa mkoja ni mkubwa na si asubuhi tu hata mchana,alfajiri jogoo anasimama mpaka mishipa inauma,tena inapanda juu kama pembe la kifaru,alafu mwili wangu ulikuwa nikipataga uchovu mwilini nao siusikii na na sina usingizi wa hovyo kama hapo nyuma,asubuhi naamka na nguvu tofauti na zamani.

Namshuku ndugu yetu Julius Mahenya.

Wana JF mnao ni PM kwa kutaka mrejesho ili nanyi muweze kutumia nawatoa wasiwasi tumieni, najua wengi wametumia nao watotoa ushuhuda na pongezi kwa ndugu Mahinya.

[h=1]Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo![/h]
 
niliwahi kuambiwa hiyo kitu kitambo kidogo na sikujaribu maana bado nilikua kinda sana
 
Ahsante kwa mrejesho mimi ni miongoni mwa watu niliokuwa nafatilia hii movie kwa karibu sana tangia hii dawa ilivyoletwa na mpaka siku uliyo harisha...Mungu mkubwa nashukuru kuona pia majibu ya tiba...
 
Hongera! Elekeza wenzako pia namna ya kuandaa kitunguu maji, unafanyeje na samli, na asali mbichi inakuja hatua ipi na kwa kipimo gani!
 
Unavichanganya vyote? Mkuu tupe formula na prescription!

Mkuu sio mimi ila ni mwana JF mwenzetu ndio alitupa hii dawa formula yake ni juice ya kitunguu maji kijiko kimoja + samli kijiko kimoja + asali mbichi kijiko kimoja unachanganya alafu unakunywa kutwa mara mbili mkuu,tena mkuu hata matatizo ya kupata choo kwa sasa sina.
 
Ahsante kwa mrejesho mimi ni miongoni mwa watu niliokuwa nafatilia hii movie kwa karibu sana tangia hii dawa ilivyoletwa na mpaka siku uliyo harisha...Mungu mkubwa nashukuru kuona pia majibu ya tiba...

Mkuu naona hata matatizo ya kupata choo kigumu limeisha.
 
Hongera! Elekeza wenzako pia namna ya kuandaa kitunguu maji, unafanyeje na samli, na asali mbichi inakuja hatua ipi na kwa kipimo gani!

Kwa maelekezo ya ndugu Julius Mahenya ni kwamba unakamua juice ya kitunguu maji kijiko kimoja cha chai (kile kikubwa) kisha unachanganya na asali mbichi kijiko hichohicho na unachanganya tena na samli kijiko hicho hicho kisha unakoroga unakunywa.Unatengeneza asubuhi na jioni na kunywa kwa mda wa siku 7 dozi imeisha.
 
jaman na mimi nitapata wapi hiyo samli ya ng'ombe? Msaada wakuu!
 

Ila Mkuu hapo kwenye red hapo! Yahitaji ujasiri kunywa samli!
 
Hata asali na kitunguu saumu pia , ukichanganya na majimoto. Lakini hakikisha asali ni halisi
 
Ila Mkuu hapo kwenye red hapo! Yahitaji ujasiri kunywa samli!

Mkuu mimi nimekunywa na leo jioni ndio namaliza.hata kijiko 1 huwezi kunywa? mimi nilikuwaga siijui Julius akanielewesha kwamba ni mafuta yatokanayo na maziwa ya ng'ombe wa kienyeji,alafu watu kibao kumbe hawajui samli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…