Asante Argentina kwa kuwafunga hawa wazungu pori

Asante Argentina kwa kuwafunga hawa wazungu pori

"Nataka Ulimwengu utambue kuwa Afrika ni sawa na kila mtu, wana uwezo wa kushinda mchezo wowote, kwa sababu tu wachezaji wao wengi wametawanyika Duniani kote wakichezea nchi nyingine" "Najua sitakuwa maarufu kwa kutoa kauli hii lakini FIFA inapaswa kufanya mambo kuwa sawa kwa kukataa wachezaji kuwakilisha nchi nyingine. hii itafanya mashindano ya FIFA kuwa ya ushindani zaidi sio ya upande mmoja." - José Mourinho, Kocha Mkuu wa klabu ya AS Roma. Toa maoni yako Follow Ukurasa Wetu wa Instagram [emoji116] https://www.instagram.com/mudumohtz
 
Ungejua, kusikia au kuona alichokiongea baba yake Mbappe usingethubutu kuandika ulichoandika, labda nikusaidie kasema.vyama vyenu vinataka rushwa kumchukua mchezaji aliyeko nje kuchezea timu ya asili ya taifa lake wakati huko ulaya hawahitaji hata senti moja wakiridhika na uchezaji wake wanampa namba timu ya Taifa. Tambua awamu ya FAT ya ndolanga waliletewa barua kutoka ujerumani timu ikiwaombea wachezaji wawili wapewe kibali Cha kusajiliwa huko, vijana walitaka FAT iwatambue kwamba hata wakihitajika katika timu ya Taifa iwe rahisi kuwapata, jibu la FAT lilikuwa hivi ati hawawatambui hao vijana kwa sababu hawakwenda kihalali, kumbuka wale hawakwenda kimpira walikwenda kutafuta maisha, kilichotakiwa NI kuwasiliana na wale vijana kwanza na mwisho kutoa kibali kuliko kutoa majibu yaharaka na ya hovyo namna hiyo, je kesho Kuna ombi lolote litakuja? Waacheni wachezee timu na nchi zenye kuwathamini, nyie bakieni na roho zenu za kwa nini? Nina anaamini umeleta huu uzi ukiwa hujui hujuma zilizopo katika vyama vya soka Africa huu NI ukweli usiopingika
Basi kwa maelezo yako tiyari umewapa uhalali wa Wamoroco kukataa mahusiano na watu weusi maana kwa mtu mwenye akili hawezi kujinasibisha na mtu ujinga,

maana kwa maelezo yako inaonesha ni jinsi gani jamii ya watu weusi ilivyo jaa mambo ya hovyo.

Kwa hiyo hakukuwa na haja ya kuwatolea povu wamoroco maana walikataa kujinasibisha na Jamii iliyo jaa wapumbavu.
 
Natumaini wewe unaheshimika Duniani kote kwa kuwa mweusi exceptional na siyo kam sisi, besides hao akina Mbappe wamezaliwa Ufaransa sasa ulitakaje? Wapewe fursa ya kuwa mamilionea wakatae kisa wewe utasema? Mbappe is 150 million dollars worth because of football na wengi wanafanya mengi Afrika klk hata Viongozi wako uliowachagua, unaacha kuhold akina Makamba responsible kwa backward ness ya Tanzania unakwenda kushambulia watu ambao hata Afrika siajabu hawajawahi fika? Kwanza Mbappe kama Obama tu mama zao Wazungu hivyo siyo weusi!

Yaani mama yake Mbape ambaye ni wa Algeria ameshageuks mzungu? Kweli wewe pumba kabisa! Kwa hiyo ukimwangalia Mbaoe pale ni mzungu!
 
Kylian Mbappé Lottin[5] was born on 20 December 1998[6] in the 19th arrondissement of Paris[7] and was raised in Bondy, Seine-Saint-Denis, a commune 10.9 km (6.8 mi) from the centre of Paris.[8] His father, Wilfried, is originally from Cameroon, and, as well as being Mbappé's agent, is a football coach, while his mother, Fayza Lamari, is of Algerian Kabyle origin and is a former handball player.[9][10][11][12] Mbappé is a practicing Christian.[13] He has a younger brother, Ethan, who played for Paris Saint-Germain's under-12 squad in 2018.[1
 
Waongezewe muda gani tena maana muda wa nyongeza ulikwisha! Ndiyo maana wenye akili waliweka hayo matuta! Kubali tu aliyeshinda ameshinda na aliyeshindwa ameshindwa, ndiyo hitimisho la mpira wa miguu, zaidi ya hapo ni pumba tu! Watu hawajui hata kupiga penalty! Dah!
Sio hawajuiii broo kwanzaa tuna poteza nguvu kwa watu ambo wanatuzidi pesa hata wasipo cheza timu ya taifa ya ufaransa watacheza kwenye vilabu vya ulaya na wanavuna mkwanjaa wee unafikiri kwa akili yako MBAPPE atarudiii Cameroon
 
Unaonekana una low thinking capasity. Na kama siyo hivyo, basi utakuwa una tabia za kichawi.

Maana huwezi kuwa na akili timamu kichwani, halafu ukatokwa na povu kisa eti wachezaji wenye asili ya Afrika wanachezea Ufaransa.

Capasity ndiyo mdudu gani huyo?
 
Afrika bara la njaa na shida kabla ya kuwalaumu wao unatakiwa uzilaumu nchi za afrika
 
Yaani mama yake Mbape ambaye ni wa Algeria ameshageuks mzungu? Kweli wewe pumba kabisa! Kwa hiyo ukimwangalia Mbaoe pale ni mzungu!
Ashakuwaa mfaransa huyo baba yake alitaka mwanae acheze timu ya taifa ya kameroon ila rushwaa mkuu rushwa adui wa hakii akaambiwa ili mwanao ajiunge na academy yetu lazima utoe mtonyo sasa mzee akaona cha kufia nn kapata chance ufaransa kijana kaingia sahivi anakulaa mema ya mwanaee hatakama ni mimi boy na komaaa na yuleee aliyenitoaaaa
 
Mkuu mm sijakataa kuhusu hilo lakini mm ninacho kukataa ni jinsi gani watu walivyo washambulia Morocco kwa kukataa kuitwa waafrika wakati kumbe kuna waafrika original na wao wanaukana uafirika wao lakini tunaona ni kawaida.

..kuna hoja ya uraia.

..halafu kuna hoja ya rangi.

..wachangiaji watofautishe hayo mawili.
 
Achaa hasiraa wale ni wafaransa kamili ndio maana wanachezea timu ya taifa agentina jana kakiona cha moto kachukua kombe ila chamoto kakiona ushindi wa penalt sio ushindi huwaa ni hamna namnaa ila wangeongezewa muda wa uwanjani agentina angekaa maana wazungu wale walishachokaa mablack ndio kwanzaa wanatembeza boll messi akimuona mbappe huko PSG lazima ahisi uharooo
IMG_20221219_125532.jpg
 
Ungeweka na Ile picha wakati wa kupiga penati yakivyokuwa yamebaki tisa uwanjani na Wazungu wawili!
 
Jibu hoja acha matusi ,alafu sijajitukana na ndio maana nime sema majitu mengi meusi ukiwemo ww yamejaa funza kichwa na sio wote.
Katie funza walioko mi sina funza we bwege. Mtu gani hujitambui km ni binadamu. Unajidharau unajidhalilisha. Ingekuwa watu wote wangekuwa km wewe hakuna nchi ya Africa ingepata uhuru. Kweli mpumbavu hawezi kujitambua. Bora ungekaa kimya ufiche upumbavu wako huo.
 
..Morocco wasinge-qualify wangejaribu kuchezea Ufaransa au Hispania.

..Kuna vijana wa familia ya Boateng wenye asili ya Ghana na Ujerumani.

..Kuna kombe la dunia kaka mtu alichezea Ujerumani, na mdogo mtu alichezea Ghana.

..wachezaji wanaangalia maslahi yao, kabla ya kitu kingine.

..Kwanza,mchezaji ataangalia ni wapi ana nafasi kubwa ya kuwa kikosi cha kwanza na kucheza.

..Pili, ataangalia ni nchi au timu gani inaweza kushinda mechi nyingi.

..Hapo kuna mambo ya DUAL CITIZENSHIP faida na hasara zake.
Kwani shida ya Morocco ni nini maana walikua wanapigania taifa lao kwani Kuna timu ilikua inapigania Africa badala ya taifa lake,,umeona timu za Ulaya zilisema zinapigania bara la Ulaya ..Au Argentina amesema anapigania America,,shida ya Africa hatujui tunataka nini kila timu itapambania taifa lake,ndio maana wanaimba nyimbo za mataifa yao nasio za Africa
 
..kuna ubishani wa kama morocco ni nchi ya kiafrika au ya kiarabu.

..ubishi huo ndio umezusha hoja mbalimbali ktk mjadala huu.
 
Sio hawajuiii broo kwanzaa tuna poteza nguvu kwa watu ambo wanatuzidi pesa hata wasipo cheza timu ya taifa ya ufaransa watacheza kwenye vilabu vya ulaya na wanavuna mkwanjaa wee unafikiri kwa akili yako MBAPPE atarudiii Cameroon
Hakuna aliye wakataza kucheza mpila barani Ulaya bali waende wacheze Ulaya lakini linapo kuja suala la kuchezea timu ya taifa wachezee mataifa yao ya asili.

Hata hao wachezaji wa timu ya Argentina karibia wote wanachezea mpila wao barani Ulaya.
 
Chekii mfano mbappe baba yake alitakagaa ajee ajecheee camerooni lakini rushwa ikamfanya baba yake ampeleke ufaransa kule akapokelewa bila rushwa sasa mtu kama huyuu hatakama ni weww ungefanyajeee
 
Katie funza walioko mi sina funza we bwege. Mtu gani hujitambui km ni binadamu. Unajidharau unajidhalilisha. Ingekuwa watu wote wangekuwa km wewe hakuna nchi ya Africa ingepata uhuru. Kweli mpumbavu hawezi kujitambua. Bora ungekaa kimya ufiche upumbavu wako huo.
Ww jamaa ni mpumbavu hakuna nilipo jitukana wala nilipo jidharau bali nimesema watu wengi weusi hawajielewi ina maana mm niko kwenye kundi la wachache wanao jielewa alafu ww uko kwenye hilo kudi la hao wengi ambao ni vilaza.

Huo uhuru umekusaidia nn wewe na taifa lako mbona nchi nzima inanuka umasikini ?
Kweli ww kiazi.
 
Back
Top Bottom