Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Kuna uzi nimeandika wakanitukana kwelikweli Ufaransa kujaza watu weusi kwenye timu ya taifa ni kuendeleza utumwa
"Nataka Ulimwengu utambue kuwa Afrika ni sawa na kila mtu, wana uwezo wa kushinda mchezo wowote, kwa sababu tu wachezaji wao wengi wametawanyika Duniani kote wakichezea nchi nyingine" "Najua sitakuwa maarufu kwa kutoa kauli hii lakini FIFA inapaswa kufanya mambo kuwa sawa kwa kukataa wachezaji kuwakilisha nchi nyingine. hii itafanya mashindano ya FIFA kuwa ya ushindani zaidi sio ya upande mmoja." - José Mourinho, Kocha Mkuu wa klabu ya AS Roma. Toa maoni yako Follow Ukurasa Wetu wa Instagram [emoji116] https://www.instagram.com/mudumohtz