Asante Argentina kwa kuwafunga hawa wazungu pori

Asante Argentina kwa kuwafunga hawa wazungu pori

Wote pua zimegeukia chini.....isikusumbue mkuu
 
Dhamira iendane na matendo lakini kwa namna mpira wetu unavyoendeshwa ni ngumu sana kufikia hatua hiyo ndani ya miongo mitatu ijayo.
Tupigane kuiondoa CCM bila hivyo hata miaka elfu hapawi kitu
 
Hilo lishaisha tujipange na sisi wa tiziii ili awamu ijayo tuingiee sioo kulumbana kisa nchi za watu messi na mbappe wameyapatia mabillioni nchi zao kwa hatua za mshindi wa kwanza na wapili ipo tofauti ukiliaa huku pesa ipoo na tofauti ukilia na pesa huna [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
World Cup yetu imeanza hapa waafrika tutachukuwa kombe tu
 

Attachments

  • VID-20221221-WA0026.mp4
    15.8 MB
Back
Top Bottom