Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupigane kuiondoa CCM bila hivyo hata miaka elfu hapawi kituDhamira iendane na matendo lakini kwa namna mpira wetu unavyoendeshwa ni ngumu sana kufikia hatua hiyo ndani ya miongo mitatu ijayo.
World Cup yetu imeanza hapa waafrika tutachukuwa kombe tuHilo lishaisha tujipange na sisi wa tiziii ili awamu ijayo tuingiee sioo kulumbana kisa nchi za watu messi na mbappe wameyapatia mabillioni nchi zao kwa hatua za mshindi wa kwanza na wapili ipo tofauti ukiliaa huku pesa ipoo na tofauti ukilia na pesa huna [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]