Wewe angaliaa sahivii tuu ukitaka fursa yeyote nchi hii lazima utoe chochote kitu wewe umekosa fursa ukaenda kuipata mfano ufaransa ukazaa na mtoto kule akapata na uraia wa kulee wakamuendeleza na kipajii chake kama mfaransa alafu akapata mafanikio ndio awasaliti walio mtoaaa kimaisha kisa uzalendo haipoo anakuwaa mfaransaa sababu angebakii afrika asingetoboa au asingetengeneza jina huwenda tusingewajuaa naamini afrika vipo vipajii vingi na vizurii shida ni kutoka ndio ishuu na ndio hupelekea haya yotee sioni cha ajabu pale ufaransa ubaguzii upoo tuu sikuzote tumeukuta na kwa wakati wako utakufa utauacha sio pingamizii kwa nchi za wenzetu kuhusu swala la uraia sisi tanzania katiba yetu ndio ngumu kwenye uraiaHakuna aliye wakataza kucheza mpila barani Ulaya bali waende wacheze Ulaya lakini linapo kuja suala la kuchezea timu ya taifa wachezee mataifa yao ya asili.
Hata hao wachezaji wa timu ya Argentina karibia wote wanachezea mpila wao barani Ulaya.
Morocco tuna sema waafrika kwa mujibu wa ramani ya dunia au wasomi wa enzi hizo walivyo igawanya dunia katika mabara wangeigawanya afrika katika pande mbili tusingesema wao ni afrika ila kwa mujibu wa ramani ya dunia morroco ipo kwenye bara la afrika kwahiyo tuliwachukulia kama wenzetu sababu ya ramaniiHakuna utofauti mkuu kwann muwarazimishe waarabu wajinasibishe na uafirika haki ya kuwa waafrika Original wanaukana kwa sababu ya upuuzi wake?
Lakini mkuu mbona wachezaji wengi wa timu ya taifa ya Morocco wamezaliwa Uhispania na Ufaransa lakini wamerudi kuiwakilisha nchi yao?Wewe angaliaa sahivii tuu ukitaka fursa yeyote nchi hii lazima utoe chochote kitu wewe umekosa fursa ukaenda kuipata mfano ufaransa ukazaa na mtoto kule akapata na uraia wa kulee wakamuendeleza na kipajii chake kama mfaransa alafu akapata mafanikio ndio awasaliti walio mtoaaa kimaisha kisa uzalendo haipoo anakuwaa mfaransaa sababu angebakii afrika asingetoboa au asingetengeneza jina huwenda tusingewajuaa naamini afrika vipo vipajii vingi na vizurii shida ni kutoka ndio ishuu na ndio hupelekea haya yotee sioni cha ajabu pale ufaransa ubaguzii upoo tuu sikuzote tumeukuta na kwa wakati wako utakufa utauacha sio pingamizii kwa nchi za wenzetu kuhusu swala la uraia sisi tanzania katiba yetu ndio ngumu kwenye uraia
MaLGBTOShukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.
Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?
Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.
Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?
Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
Kuna mwanamichezo na shabiki kwa heriBasi kwa maelezo yako tiyari umewapa uhalali wa Wamoroco kukataa mahusiano na watu weusi maana kwa mtu mwenye akili hawezi kujinasibisha na mtu ujinga,
maana kwa maelezo yako inaonesha ni jinsi gani jamii ya watu weusi ilivyo jaa mambo ya hovyo.
Kwa hiyo hakukuwa na haja ya kuwatolea povu wamoroco maana walikataa kujinasibisha na Jamii iliyo jaa wapumbavu.
Ngozi nyeusi nuksi tupu , Jana yalizidiwa kila kitu, lakini utakuta mijitu et Mbape, Argentina walifanya Jambo jemaShukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.
Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?
Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.
Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?
Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
Sasa uharo wa nini wakati kikombe kimebebwa na WaArgentina?Achaa hasiraa wale ni wafaransa kamili ndio maana wanachezea timu ya taifa agentina jana kakiona cha moto kachukua kombe ila chamoto kakiona ushindi wa penalt sio ushindi huwaa ni hamna namnaa ila wangeongezewa muda wa uwanjani agentina angekaa maana wazungu wale walishachokaa mablack ndio kwanzaa wanatembeza boll messi akimuona mbappe huko PSG lazima ahisi uharooo
Kabeba kwenye matuta wangekuwaa vizurii wangichukua ndani ya dakika 90Sasa uharo wa nini wakati kikombe kimebebwa na WaArgentina?
Mtu kahangaika hadii katokaaa kasaidiwaa na taifa jinginee hatakama ni wewe lazima ulipe fadhila no matter what
Kwa hichi alicho fanyiwa Mbappe kina dhihitisha kuwa watu weusi ni hovyo na ndio maana hakuna jamii inayo taka kujinasibisha nao, kwa hiyo Morocco walikuwa sawa haikuwa na haja ya kuwatolea povu.
Hata Ufaransa walikuwa na fursa ya kubeba ubingwa kupitia matuta au hujaliona hilo mkuu?Kabeba kwenye matuta wangekuwaa vizurii wangichukua ndani ya dakika 90
hapo kwa Mbape si wazazi wake walitaka achezee timu ya afrika shida njaa za huku Africa watu wakataka rushwa sasa shida hapo ni kwa mchezaji au sisi wenyewe wa afrika tuliobaki huku nyumbani hatujielewi na viongozi wetu,, hao wanasaka maisha, kama mifumo yenyewe huku nyumbani haieleweki sasa wafanye nini???Kabla ya kuwa wafaransa wa michongo walikuwa waafrika wenzako na wamezaliwa Afrika.
Ina maana mpaka wanakuja kuwa wafaransa walirazimika kuukana uafirika wao.
Sasa kama nyinyi weusi hamuupendi na mnaukana uafirika wenu iweje muwarazimishe waarabu wa Morocco wautambue?
Kwenye matuta hapoo bwana pagumu sana ingawa kipa wa argentina hapo alikuwa na uwezo zaidi wa kuzuia kama uliona fresh hadi penalty mbili za mbappe alizifuata na kuzigusa ila tuu zilikuwa kwenye kasii hivyo zilipitaa na wasiwasi wangu ilikuwaa kwenye matuta ufaransa hatatoboaa yule kipa alihitajii upigee shuti ndoigee hata akilifuata akute lishapitaa ila ukipiga kwa mbwembwe anaichukua au anaipanchHata Ufaransa walikuwa na fursa ya kubeba ubingwa kupitia matuta au hujaliona hilo mkuu?
Hapa umemaliza mkuu,Kwenye matuta hapoo bwana pagumu sana ingawa kipa wa argentina hapo alikuwa na uwezo zaidi wa kuzuia kama uliona fresh hadi penalty mbili za mbappe alizifuata na kuzigusa ila tuu zilikuwa kwenye kasii hivyo zilipitaa na wasiwasi wangu ilikuwaa kwenye matuta ufaransa hatatoboaa yule kipa alihitajii upigee shuti ndoigee hata akilifuata akute lishapitaa ila ukipiga kwa mbwembwe anaichukua au anaipanch
Hilo lishaisha tujipange na sisi wa tiziii ili awamu ijayo tuingiee sioo kulumbana kisa nchi za watu messi na mbappe wameyapatia mabillioni nchi zao kwa hatua za mshindi wa kwanza na wapili ipo tofauti ukiliaa huku pesa ipoo na tofauti ukilia na pesa huna [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hapa umemaliza mkuu,
Kwa ufupi Argentina walistahiki kulibeba bila kujali kwa namna ipi.
Dhamira iendane na matendo lakini kwa namna mpira wetu unavyoendeshwa ni ngumu sana kufikia hatua hiyo ndani ya miongo mitatu ijayo.Hilo lishaisha tujipange na sisi wa tiziii ili awamu ijayo tuingiee sioo kulumbana kisa nchi za watu messi na mbappe wameyapatia mabillioni nchi zao kwa hatua za mshindi wa kwanza na wapili ipo tofauti ukiliaa huku pesa ipoo na tofauti ukilia na pesa huna [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Na si ajabu kama Mbappe angeenda Cameroon wala asingekua hapo alipo leo,pengine asingepata academy ya sport nzuri au lishe na pengine hata matibabu bora na asingekua na World cup hata moja.Gavana,
..kinachotakiwa kufanyika ni kuwadaka hao wachezaji kabla hawajawa na majina makubwa.
..Cameroon wangeweza kumpata Mbappe wakati bado ni mchanga.
..Ukisubiri wakati mchezaji ana jina kubwa sio rahisi kumshawishi kuchezea timu ya taifa ya Afrika