Asante Argentina kwa kuwafunga hawa wazungu pori

Asante Argentina kwa kuwafunga hawa wazungu pori

Swala la morocco na swala ufaransa ni vitu viwili tofauti japo vyote vunahusu ubaguziii
Hakuna utofauti mkuu kwann muwarazimishe waarabu wajinasibishe na uafirika haki ya kuwa waafrika Original wanaukana kwa sababu ya upuuzi wake?
 
Hakuna aliye wakataza kucheza mpila barani Ulaya bali waende wacheze Ulaya lakini linapo kuja suala la kuchezea timu ya taifa wachezee mataifa yao ya asili.

Hata hao wachezaji wa timu ya Argentina karibia wote wanachezea mpila wao barani Ulaya.
Wewe angaliaa sahivii tuu ukitaka fursa yeyote nchi hii lazima utoe chochote kitu wewe umekosa fursa ukaenda kuipata mfano ufaransa ukazaa na mtoto kule akapata na uraia wa kulee wakamuendeleza na kipajii chake kama mfaransa alafu akapata mafanikio ndio awasaliti walio mtoaaa kimaisha kisa uzalendo haipoo anakuwaa mfaransaa sababu angebakii afrika asingetoboa au asingetengeneza jina huwenda tusingewajuaa naamini afrika vipo vipajii vingi na vizurii shida ni kutoka ndio ishuu na ndio hupelekea haya yotee sioni cha ajabu pale ufaransa ubaguzii upoo tuu sikuzote tumeukuta na kwa wakati wako utakufa utauacha sio pingamizii kwa nchi za wenzetu kuhusu swala la uraia sisi tanzania katiba yetu ndio ngumu kwenye uraia
 
Hakuna utofauti mkuu kwann muwarazimishe waarabu wajinasibishe na uafirika haki ya kuwa waafrika Original wanaukana kwa sababu ya upuuzi wake?
Morocco tuna sema waafrika kwa mujibu wa ramani ya dunia au wasomi wa enzi hizo walivyo igawanya dunia katika mabara wangeigawanya afrika katika pande mbili tusingesema wao ni afrika ila kwa mujibu wa ramani ya dunia morroco ipo kwenye bara la afrika kwahiyo tuliwachukulia kama wenzetu sababu ya ramanii
 
Wewe angaliaa sahivii tuu ukitaka fursa yeyote nchi hii lazima utoe chochote kitu wewe umekosa fursa ukaenda kuipata mfano ufaransa ukazaa na mtoto kule akapata na uraia wa kulee wakamuendeleza na kipajii chake kama mfaransa alafu akapata mafanikio ndio awasaliti walio mtoaaa kimaisha kisa uzalendo haipoo anakuwaa mfaransaa sababu angebakii afrika asingetoboa au asingetengeneza jina huwenda tusingewajuaa naamini afrika vipo vipajii vingi na vizurii shida ni kutoka ndio ishuu na ndio hupelekea haya yotee sioni cha ajabu pale ufaransa ubaguzii upoo tuu sikuzote tumeukuta na kwa wakati wako utakufa utauacha sio pingamizii kwa nchi za wenzetu kuhusu swala la uraia sisi tanzania katiba yetu ndio ngumu kwenye uraia
Lakini mkuu mbona wachezaji wengi wa timu ya taifa ya Morocco wamezaliwa Uhispania na Ufaransa lakini wamerudi kuiwakilisha nchi yao?

Hata Algelia ni hivyo hivyo wachezaji wengi wamazaliwa Ulaya wamekulia Ulaya lakini wanachezea timu za asili yao.
 
Sasa hapo ndio linakujaa swala la yeye au mzazi wake aliondokajee nchini mwakee mdano ww ni mtanzania ukataka mwanao ajiunge na academy za Tz ila ukaombwa Rushwa Milioni Kumi lakini akafanikiwa kuingiaaa kenya wakampa mafunzo kama mkenya wewe kama mzazii lazima achezee kenya sindioo wamemtoa na kumthamini
 
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.

Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?

Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.

Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?

Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
MaLGBTO
 
Basi kwa maelezo yako tiyari umewapa uhalali wa Wamoroco kukataa mahusiano na watu weusi maana kwa mtu mwenye akili hawezi kujinasibisha na mtu ujinga,

maana kwa maelezo yako inaonesha ni jinsi gani jamii ya watu weusi ilivyo jaa mambo ya hovyo.

Kwa hiyo hakukuwa na haja ya kuwatolea povu wamoroco maana walikataa kujinasibisha na Jamii iliyo jaa wapumbavu.
Kuna mwanamichezo na shabiki kwa heri
 
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.

Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?

Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.

Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?

Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
Ngozi nyeusi nuksi tupu , Jana yalizidiwa kila kitu, lakini utakuta mijitu et Mbape, Argentina walifanya Jambo jema
 
Achaa hasiraa wale ni wafaransa kamili ndio maana wanachezea timu ya taifa agentina jana kakiona cha moto kachukua kombe ila chamoto kakiona ushindi wa penalt sio ushindi huwaa ni hamna namnaa ila wangeongezewa muda wa uwanjani agentina angekaa maana wazungu wale walishachokaa mablack ndio kwanzaa wanatembeza boll messi akimuona mbappe huko PSG lazima ahisi uharooo
Sasa uharo wa nini wakati kikombe kimebebwa na WaArgentina?
 
Kwa hichi alicho fanyiwa Mbappe kina dhihitisha kuwa watu weusi ni hovyo na ndio maana hakuna jamii inayo taka kujinasibisha nao, kwa hiyo Morocco walikuwa sawa haikuwa na haja ya kuwatolea povu.

Henry akiwa na Mbape 2005

1671516248735.png
 
Kabla ya kuwa wafaransa wa michongo walikuwa waafrika wenzako na wamezaliwa Afrika.

Ina maana mpaka wanakuja kuwa wafaransa walirazimika kuukana uafirika wao.
Sasa kama nyinyi weusi hamuupendi na mnaukana uafirika wenu iweje muwarazimishe waarabu wa Morocco wautambue?
hapo kwa Mbape si wazazi wake walitaka achezee timu ya afrika shida njaa za huku Africa watu wakataka rushwa sasa shida hapo ni kwa mchezaji au sisi wenyewe wa afrika tuliobaki huku nyumbani hatujielewi na viongozi wetu,, hao wanasaka maisha, kama mifumo yenyewe huku nyumbani haieleweki sasa wafanye nini???
 
Hata Ufaransa walikuwa na fursa ya kubeba ubingwa kupitia matuta au hujaliona hilo mkuu?
Kwenye matuta hapoo bwana pagumu sana ingawa kipa wa argentina hapo alikuwa na uwezo zaidi wa kuzuia kama uliona fresh hadi penalty mbili za mbappe alizifuata na kuzigusa ila tuu zilikuwa kwenye kasii hivyo zilipitaa na wasiwasi wangu ilikuwaa kwenye matuta ufaransa hatatoboaa yule kipa alihitajii upigee shuti ndoigee hata akilifuata akute lishapitaa ila ukipiga kwa mbwembwe anaichukua au anaipanch
 
Hapa umemaliza mkuu,
Kwa ufupi Argentina walistahiki kulibeba bila kujali kwa namna ipi.
 
Hapa umemaliza mkuu,
Kwa ufupi Argentina walistahiki kulibeba bila kujali kwa namna ipi.
Hilo lishaisha tujipange na sisi wa tiziii ili awamu ijayo tuingiee sioo kulumbana kisa nchi za watu messi na mbappe wameyapatia mabillioni nchi zao kwa hatua za mshindi wa kwanza na wapili ipo tofauti ukiliaa huku pesa ipoo na tofauti ukilia na pesa huna [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Dhamira iendane na matendo lakini kwa namna mpira wetu unavyoendeshwa ni ngumu sana kufikia hatua hiyo ndani ya miongo mitatu ijayo.
 
Gavana,

..kinachotakiwa kufanyika ni kuwadaka hao wachezaji kabla hawajawa na majina makubwa.

..Cameroon wangeweza kumpata Mbappe wakati bado ni mchanga.

..Ukisubiri wakati mchezaji ana jina kubwa sio rahisi kumshawishi kuchezea timu ya taifa ya Afrika
Na si ajabu kama Mbappe angeenda Cameroon wala asingekua hapo alipo leo,pengine asingepata academy ya sport nzuri au lishe na pengine hata matibabu bora na asingekua na World cup hata moja.
 
Back
Top Bottom