Hilo lishaisha tujipange na sisi wa tiziii ili awamu ijayo tuingiee sioo kulumbana kisa nchi za watu messi na mbappe wameyapatia mabillioni nchi zao kwa hatua za mshindi wa kwanza na wapili ipo tofauti ukiliaa huku pesa ipoo na tofauti ukilia na pesa huna [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]