Asante JamiiForums: Hatimae watumishi wa Umma wamelipwa Mishahara yao, kelele zimefika kwa mamlaka

Asante JamiiForums: Hatimae watumishi wa Umma wamelipwa Mishahara yao, kelele zimefika kwa mamlaka

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Nipenda kutuma Salamu zangu kwa mwanzilishi wa JF, watumishi wa JF na watumiaji wa JF. Ni mtandao unaofuatiliwa na kusomwa na wengi.

Napenda kuwashukuru kwa kuusimamia Uzi uliokuwa unaelezea kulipwa mishahara ya watumishi Umma, June 2024.

Watumishi wamelipwa baada ya kelele kuwa nyingi, hatimaye chura kiziwi kasisikia, watumishi sasa wamepokea chao.

Asanteni sana JF kuwapigania watumishi wa Umma.

Pia soma:
 
Nipenda kutuma Salam zangu kwa mwanzilishi wa Jf, watumishi wa Jf na watumiaji wa Jf.

Ni mtandao unaofuatiliwa na kusomwa na wengi .

Napenda kuwashukuru kwa kuusimamia Uzi uliokuwa unaelezea kulipwa mishahara ya watumishi Umma, June 2024.

Watumishi wamelipwa,baada ya kelele kuwa nyingi,hatimaye chura kizuwi kuxisikia,watumishi sasa wamepokea chao.

Asanteni sana,kuweza Jf kuwapigania watumishi wa Umma.
Mshahara haulipwi Kama unavyotamani iwe

Inalipwa kWa taratibu… na nadhani umeona kwamba tumelipwa tar 24 kwasababu tar 21 na 22 zilikua weekend

Tupunguze vinibu wakuu
 
Back
Top Bottom