peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Uliyemtaja,Nina wasi wasi na elimu yakeWale chawa akina Faiza wamekaza fuvu eti mshahara utatoka tarehe 30... Hv hawa chawa kumbe hakuna taarifa yoyote ya maana wanayopewa. Kuwa chawa ni kujidhalilisha.
Mkuu acha kuikosea heshima elimu, kile kiumbe na elimu wapi wapiUliyemtaja,Nina wasi wasi na elimu yake
Topic ni mshahara kucheleweshwaKwani serikali ilisema hamtolipwa mshahara wenu mwezi huu wa juni?
Mshahara haulipwi Kama unavyotamani iweNipenda kutuma Salam zangu kwa mwanzilishi wa Jf, watumishi wa Jf na watumiaji wa Jf.
Ni mtandao unaofuatiliwa na kusomwa na wengi .
Napenda kuwashukuru kwa kuusimamia Uzi uliokuwa unaelezea kulipwa mishahara ya watumishi Umma, June 2024.
Watumishi wamelipwa,baada ya kelele kuwa nyingi,hatimaye chura kizuwi kuxisikia,watumishi sasa wamepokea chao.
Asanteni sana,kuweza Jf kuwapigania watumishi wa Umma.
Mtumishi kuishi akichungulia ATM tangu tarehe 21 hadi usiku tarehe 24 ni laana.Kwani serikali ilisema hamtolipwa mshahara wenu mwezi huu wa juni?
Wahi ATM mkuuWengine bado hatujalipwa
Ni mawazo yakoMshahara haulipwi Kama unavyotamani iwe
Niwahi vipi na nna sim banking, sijalipwa na sio mwenyewe tuko wengiWahi ATM mkuu
Anavoishuluru jamii forum ni kama ndio imeiambia serikali ilipe mshahara utafikiri serikali ilisema haitalipaTopic ni mshahara kucheleweshwa
Uwe mvumilivu,Leo utaona mpunga wako mkuu.Niwahi vipi na nna sim banking, sijalipwa na sio mwenyewe tuko wengi
Faiza apimwe akili yeye na Lucas mwashambwa wanaugua ukichaaWale chawa akina Faiza wamekaza fuvu eti mshahara utatoka tarehe 30... Hv hawa chawa kumbe hakuna taarifa yoyote ya maana wanayopewa. Kuwa chawa ni kujidhalilisha.
NafahamuNi mawazo yako