Asante JamiiForums: Hatimae watumishi wa Umma wamelipwa Mishahara yao, kelele zimefika kwa mamlaka

ni neema iliyoje kwa kweli

nipende kuipongeza serikali kwa ujumla
 
Wajinga nchi hii hawataisha madamu wajinga wanaendelea kuwepo ndivyo na ccm itaendelea kuwepo.
Ingekuwa yeye mtu akamkopa na akashindwa kumlipa kwa wakati angekaa kimya
Wapuuzi tu hawa wengine tumeajiri ndugu zao huku wanakatia majani ya ng'ombe, ili kijana mambo yake yaende lazima mambo yangu yaende pia wanatuona watumishi tuna njaa sana kisa kudai monthly salary.
 
Yani watu wanna ujinga sana, eti kisa kuona watumishi wanadai mshahara basi anadhani hawana another source of income. Kudai haki yako iliyocheleweshwa hakukuondolei haki yako. Vyanzo tunavyo na mshahara tunadai
Kweli mkuu,, mtu ambaye ameenda mahakamani kufungua kesi baada ya mtoto wake kuuawa Haina maana kwamba Hana watoto wengine... Huwezi ukaacha mtoto wako ameuawa eti kisa una watoto wengine...
 
Kweli mkuu,, mtu ambaye ameenda mahakamani kufungua kesi baada ya mtoto wake kuuawa Haina maana kwamba Hana watoto wengine... Huwezi ukaacha mtoto wako ameuawa eti kisa una watoto wengine...
Umeiweka kitaalamu sana mkuu. Kama hajaelewa basi ana matatizo ya afya ya akili.
 
πŸ˜‚
 
Wapuuzi tu hawa wengine tumeajiri ndugu zao huku wanakatia majani ya ng'ombe, ili kijana mambo yake yaende lazima mambo yangu yaende pia wanatuona watumishi tuna njaa sana kisa kudai monthly salary.
Ng'ombe unayemfuga ndio huyo unayempigia gitaa kwenye Profile Picture yako?πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
 
Nchi imewagawa watumishi sijui kwa kigezo gani.mishahara inaanza kwa jw,polisi,tamisemi then akina kajamba nani.
Sasa kwa taarifa tu.. hao uliowataja ndio Kajamba nani ORIGINAL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…