Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 492
Naomba nifikishe shukrani zangu kwa mwana jf King'asti kwa jinsi alivyoweza kunipa maelekezo ya kuweza kufanya mawasiliano na modes baada ya account yangu kuwa ime expire.
Wakati nilipolazimika kutumia account ya rafiki yangu kuomba msaada, wengi walijitokeza kwa kuchangia kwa maneno ya kijinga sana huku wakionesha kuwa muhitaji lengo lake ni kutafuta wanawake/wanaume japo lengo langu lilikuwa halisi. Katika wote waliopitia uzi wangu ni King'asti tu aliyeweza kunipa maelekezo ya maana, naomba nikupongeze tena na tena.
Wana jf naomba tutafakari kwanza kabla ya kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Tusiwe kama watawala wetu wa leo bali tujifunze toka kwake.
MIWATAMU.