Asante King'asti! Wajinga wajifunze toka kwako.

Asante King'asti! Wajinga wajifunze toka kwako.

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Naomba nifikishe shukrani zangu kwa mwana jf King'asti kwa jinsi alivyoweza kunipa maelekezo ya kuweza kufanya mawasiliano na modes baada ya account yangu kuwa ime expire.
Wakati nilipolazimika kutumia account ya rafiki yangu kuomba msaada, wengi walijitokeza kwa kuchangia kwa maneno ya kijinga sana huku wakionesha kuwa muhitaji lengo lake ni kutafuta wanawake/wanaume japo lengo langu lilikuwa halisi. Katika wote waliopitia uzi wangu ni King'asti tu aliyeweza kunipa maelekezo ya maana, naomba nikupongeze tena na tena.
Wana jf naomba tutafakari kwanza kabla ya kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Tusiwe kama watawala wetu wa leo bali tujifunze toka kwake.
MIWATAMU.
 
Ha,ha,ha,ha,haaaa!Dada langu la nguvu hilo!
 
Haya nipe zawadi yake ya Xmass nimpelekee. King'asti ni binamu yangu toka nitoke.
 
Last edited by a moderator:
Haya nipe zawadi yake ya Xmass nimpelekee. King'asti ni binamu yangu toka nitoke.
Tena wee Asprin ulikuwa mmoja kati ya walionikatisha tamaa siku ile ila nimekusamehe. Hiyo zawadi nitampa mwenyewe kwani nafahamu sana pa kumpata. ila sijamuona humu leo mwambie aamke kumekucha.
 
Mh!Unaweza kumpa paka samaki aipeleke nyumbani na ikafika?
Hata mimi nimemshtukia Asprin huyo. Mnaa kweli huyu binti yangu ila nitamuandalia zawadi yake tu asihofu.
 
Haya umeshashukuru imetosha, usijeendeleza mawasiliano kwa PM, mie nshakula mahari yangu na sitaki migogoro kwenye ndoa ya binti yangu King'asti.....................
 
Last edited by a moderator:
Haya umeshashukuru imetosha, usijeendeleza mawasiliano kwa PM, mie nshakula mahari yangu na sitaki migogoro kwenye ndoa ya binti yangu King'asti.....................
Mtambuzi mbona wivu hivyo wakati uzee umeshakukaa hadi kwenye kope? Huyu binti niko naye sana kama mahali umeshakula si kwa ajili yake labda kwa binti mwingine kwani mimi na yeye tumekubaliana hadi 2015 baada ya kuingia Ikulu. Jiandae kwa sasa. Nakutakia sikukuu njema.
 
Ahsante sana mke wa ujana wangu, hebu msome huyu mnaa hapa chini ananiita eti mie binti...

tutajuaajjeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!ahahhahahhahahhahha Miwatamu bana eti binti Asprin mnaa sana!ahahahhahahhahahhahahahhahhahaha leo umepatikana mwanafunzi wangu,umesikia binti Asprin!ahhahahahahhaha ntacheka mpka uniletee zawadi ya masi masi!
 
Last edited by a moderator:
Haya umeshashukuru imetosha, usijeendeleza mawasiliano kwa PM, mie nshakula mahari yangu na sitaki migogoro kwenye ndoa ya binti yangu King'asti.....................

Baba Mshukuru Mungu, King'asti ni binti wa nguvu, hadanganyiki, aliyekupa mahari anamtunza ipasavyo na nadhani anamtimizia haja za mwili, roho na akili yake! Si umemwona binti yako alivyonawiri? Kwake tabasamu na bashasha ni kama chemi chemi isiyo kauka! Dominika flani alinifaa sana, Long live King'asti!!
 
Ime expiyaje wakati umejiunga JF juzi tu.
Mbona mi yakwangu sijawahi i-renew?
 
tutajuaajjeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!ahahhahahhahahhahha Miwatamu bana eti binti Asprin mnaa sana!ahahahhahahhahahhahahahhahhahaha leo umepatikana mwanafunzi wangu,umesikia binti Asprin!ahhahahahahhaha ntacheka mpka uniletee zawadi ya masi masi!

Hehehehehe........ we endelea kucheka tu wakati wenzio wanaendelea kulea mimba zangu....
 
King'asti nitafute nikupatie zawadi yako ya Kismasi kutokana na huu Ushuhuda wa Mdau.
 
Back
Top Bottom